hawa ni kumbikumbi ama?Ukiyakosa tafuta hizi
Pilipili kichaa nadhanihawa ni kumbikumbi ama?
Teh teh..Hizo nguvu acha nizikose tu aisee..Sio kwa style hiyoPilipili kichaa nadhani
wewe unaangalia quantity instead of quality, usipende kucheza game nyingi hlf unaperform poor, piga game mara tatu per week hlf iwe bora kweli kweli.Ukiepuka kumtia mara kwa mara, atatiwa na nani sasa!?
Hili nalo neno mkuuHuwezi kutibu ugonjwa bila ya kujua chanzo chake. Nguvu zako unazipimaje na kwa nani? Inawezekana unazo nguvu za kutosha kwa kiwango chako lakin unmeenda kuvamia Layland wakti wewe mwenyewe ni Nissan match.
Limao ni hizi za kwanzaEbu naombeni kueleweshwa, limao ni zipi na ndimu ni zipi maana hapa inanichanganya kidogo
Mkuu wangu, wakati mwingine huu ugonjwa upo created kutokana na story za vijiweni kwani kuna watu wanaamini kuna standard ya kufanya ngono sasa wakikaa vijiwe vya kahawa na kusimuliana unakuta mwingne anatumia dakika kadhaa mwingine zaidi mtu anajiona yuo below standard na kujinyanyapaa na mwisho wa siku anakuwa anacheza chini ya kiwango. Hivi mbona huwa utofauti wa mambo mengine hawangalii mfano mwingine anabeba gunia la mahindi mwingine hata mfuko wa cement 5okg hawawezi na wote ni wanaume au hata kwenye kula pia na uwezo wa mwili kuhimili mikikimikiki alafu kwenye ngono watu wanataka wawe sawa watumie saa nzima kwenye kiuno cha mwanamkeDah huu ugonjwa wa nguvu za kiume infuture utaftiwe chanjo. Wazo tu [emoji125] [emoji124]
unataka kuelewaLa saba 1988 sijaelewa hii lugha
Nami nitajaribu pia hii...!Kupambazuke tu haraka niwahi engo kuchukua vitendea kazi