How to make natural viagra using only 2 ingredients

How to make natural viagra using only 2 ingredients

pilipili utachanika utumbo wewe kisa unataka kwenda kumkomoa mwanamke acheni hizo mwanamke hakomolewi kwa ku....mbw ni namna utakavyo mhandle kabla ya mechi yeye anakuwa hoi
 
Jamani usijitese bure sometimes unakutana na gogo kama lilopo pembeni yangu. Hajui hata kuamsha mashine. Yeye anategmea niamke tu.
Sasa hata kama una nguvu vipi kwa mwendo huu utaona huna nguvu maana mzuka haupo.
Jamani,tafuteni wanawake wanaoendana na mahitaji yenu. Say no to magogo!
 
Ukiyakosa tafuta hizi
4b72e26255784a5d03a7053effd0787a.jpg
hawa ni kumbikumbi ama?
 
Ebu naombeni kueleweshwa, limao ni zipi na ndimu ni zipi maana hapa inanichanganya kidogo
 
Ukiepuka kumtia mara kwa mara, atatiwa na nani sasa!?
wewe unaangalia quantity instead of quality, usipende kucheza game nyingi hlf unaperform poor, piga game mara tatu per week hlf iwe bora kweli kweli.
 
Huwezi kutibu ugonjwa bila ya kujua chanzo chake. Nguvu zako unazipimaje na kwa nani? Inawezekana unazo nguvu za kutosha kwa kiwango chako lakin unmeenda kuvamia Layland wakti wewe mwenyewe ni Nissan match.
Hili nalo neno mkuu
 
Dah huu ugonjwa wa nguvu za kiume infuture utaftiwe chanjo. Wazo tu [emoji125] [emoji124]
Mkuu wangu, wakati mwingine huu ugonjwa upo created kutokana na story za vijiweni kwani kuna watu wanaamini kuna standard ya kufanya ngono sasa wakikaa vijiwe vya kahawa na kusimuliana unakuta mwingne anatumia dakika kadhaa mwingine zaidi mtu anajiona yuo below standard na kujinyanyapaa na mwisho wa siku anakuwa anacheza chini ya kiwango. Hivi mbona huwa utofauti wa mambo mengine hawangalii mfano mwingine anabeba gunia la mahindi mwingine hata mfuko wa cement 5okg hawawezi na wote ni wanaume au hata kwenye kula pia na uwezo wa mwili kuhimili mikikimikiki alafu kwenye ngono watu wanataka wawe sawa watumie saa nzima kwenye kiuno cha mwanamke
 
Naona hii tiba inatolewa bila kuwa na user demonstration,kwa mtumiaji hakikisha unatumia product hii pale tu unapokuwa na uhakika bibie yupo ndani,sio kuja kubaka vitoto vya watu
 
hii hali ya upungufu wa nguvu za kiume inavyozidi kuongezeka,itafikia wakati watu wataanza kupeana sumu kila mtu anaibuka na dawa yake.mwngne anakwambia ule pilipili na ndimu au upake pilipili kichaa kwenye dushe huu ni uuaji.
mwingne anakwambia utumie majani ya mwarobaini na mizizi ya mpapai aisee,kuweni makini sana na hizo dawa
 
Back
Top Bottom