Sio microfinance pengine unataka kuanzisha microcredit. Microfince ni bank kabisa[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3] au hujui NMB ni microfince pia.Wanajukwaa! Nina wazo la kuanzisha microfinance, kwa mwenye uzoefu au ufahamu juu ya hili, minaomba tusaidiane. Nataka kufamu kuhusu namna ya kusajili, mtaji wake na pia taratibu mbali mbali muhimu za kisheria. Natanguliza shukrani za dhati.
NB: HOW TO START MICROFINANCE IN TANZANIA! ..
leseni inatolewa na wizara ya viwanda na biashara, na kuna mahitaji mengine kabla ya kupata hivo leseni kama tin, leseni ya biashara, usajili wa kampuni, credit policy etc
Kwa wakati huu hizi Micro credit zina pumulia mashine nyingi. Unless uje na Model tofauti.
Shida unakuta zote zina Model ya aina moja tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Just try and see, and don't forget to come back with feedback [emoji4]
Sio microfinance pengine unataka kuanzisha microcredit. Microfince ni bank kabisa[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3] au hujui NMB ni microfince pia.
Kama ni microfince inayochukua dhamana na amana za watu. Controller ni BOT na ndogo kabisa uwe na mil 300.
Kama ni microcredit uchukui amana wala dhamana, wizara ya viwanda inahusika leseni na vibali, TRA kodi, na Brela kampuni.
Uwe na mtaji walau wa mil 10 kwa uendeshaji tu mbali na mengine na watataka bank statement ya hizo pesa.
Setting za ufatiliaji nakushauri tenga mil 1.5 mpk mil 2. Humo brela, leseni, TRA na Muandaaji wa Memorundum
Kila la heri
Dumelang
[emoji28]...kaka! Kama una experience ya hzi kitu...naomba utujuze! Naamini challenges zikiwa nyingi, opportunities pia zipo nyingi!Just try and see, and don't forget to come back with feedback [emoji4]
Kwa hyo...kipi kinaanza kaka! Kusajii kampuni, tra na kila kitu, then Ndo tunafatilia Bot...au the other way round!?sheria zilizopitishwa na bunge lesen zote zinatolewa na BOT
kwa kuongeza pia unahitaji kuwa na operational manualSio microfinance pengine unataka kuanzisha microcredit. Microfince ni bank kabisa[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3] au hujui NMB ni microfince pia.
Kama ni microfince inayochukua dhamana na amana za watu. Controller ni BOT na ndogo kabisa uwe na mil 300.
Kama ni microcredit uchukui amana wala dhamana, wizara ya viwanda inahusika leseni na vibali, TRA kodi, na Brela kampuni.
Uwe na mtaji walau wa mil 10 kwa uendeshaji tu mbali na mengine na watataka bank statement ya hizo pesa.
Setting za ufatiliaji nakushauri tenga mil 1.5 mpk mil 2. Humo brela, leseni, TRA na Muandaaji wa Memorundum
Kila la heri
Dumelang
kwa kuongeza pia unahitaji kuwa na operational manual
yap! na nani anafanya nini na pia unatakiwa uwe na mtu angalau mmoja mwenye knowledge kwenye financial management sio lazima awe amefanya coarse za banking lakini awe na uwezo wa kuelezea transaction vizuri.

ila usiogope sio lazima utimize vyote unaingia vitani halafu vingine utapigana vita kiume kwa kadri itakavyokuwa inakwenda. hivyo kama umedhamilia we ingia tu wakati mwingine tunatoa ushauri ambao unaweza kukutisha na usiweze kufanya kwa kuwa wengi ya watu wenye uelewa mara nyingi ni waoga kupata hasara kwa hiyo muda mwingi tunashauri kucontrol risks.