How to Microfinance in Tanzania.

How to Microfinance in Tanzania.

Don arl

Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
39
Reaction score
21
Wanajukwaa! Nina wazo la kuanzisha microfinance, kwa mwenye uzoefu au ufahamu juu ya hili, minaomba tusaidiane. Nataka kufamu kuhusu namna ya kusajili, mtaji wake na pia taratibu mbali mbali muhimu za kisheria. Natanguliza shukrani za dhati.

NB: HOW TO START MICROFINANCE IN TANZANIA! ..
 
Sio microfinance pengine unataka kuanzisha microcredit. Microfince ni bank kabisa[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3] au hujui NMB ni microfince pia.

Kama ni microfince inayochukua dhamana na amana za watu. Controller ni BOT na ndogo kabisa uwe na mil 300.

Kama ni microcredit uchukui amana wala dhamana, wizara ya viwanda inahusika leseni na vibali, TRA kodi, na Brela kampuni.

Uwe na mtaji walau wa mil 10 kwa uendeshaji tu mbali na mengine na watataka bank statement ya hizo pesa.

Setting za ufatiliaji nakushauri tenga mil 1.5 mpk mil 2. Humo brela, leseni, TRA na Muandaaji wa Memorundum

Kila la heri

Dumelang
 
leseni inatolewa na wizara ya viwanda na biashara, na kuna mahitaji mengine kabla ya kupata hivo leseni kama tin, leseni ya biashara, usajili wa kampuni, credit policy etc
 
sijakupata vzuri hapa kaka! Kwahyo inabid nisajili kampuni kabsaa...afu ndo nianze kufuatilia vibali wizarani!!?
leseni inatolewa na wizara ya viwanda na biashara, na kuna mahitaji mengine kabla ya kupata hivo leseni kama tin, leseni ya biashara, usajili wa kampuni, credit policy etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
To make long story short, is equal to hell and jail
 
ahsante kaka
Sio microfinance pengine unataka kuanzisha microcredit. Microfince ni bank kabisa[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3] au hujui NMB ni microfince pia.

Kama ni microfince inayochukua dhamana na amana za watu. Controller ni BOT na ndogo kabisa uwe na mil 300.

Kama ni microcredit uchukui amana wala dhamana, wizara ya viwanda inahusika leseni na vibali, TRA kodi, na Brela kampuni.

Uwe na mtaji walau wa mil 10 kwa uendeshaji tu mbali na mengine na watataka bank statement ya hizo pesa.

Setting za ufatiliaji nakushauri tenga mil 1.5 mpk mil 2. Humo brela, leseni, TRA na Muandaaji wa Memorundum

Kila la heri

Dumelang

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio microfinance pengine unataka kuanzisha microcredit. Microfince ni bank kabisa[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3] au hujui NMB ni microfince pia.

Kama ni microfince inayochukua dhamana na amana za watu. Controller ni BOT na ndogo kabisa uwe na mil 300.

Kama ni microcredit uchukui amana wala dhamana, wizara ya viwanda inahusika leseni na vibali, TRA kodi, na Brela kampuni.

Uwe na mtaji walau wa mil 10 kwa uendeshaji tu mbali na mengine na watataka bank statement ya hizo pesa.

Setting za ufatiliaji nakushauri tenga mil 1.5 mpk mil 2. Humo brela, leseni, TRA na Muandaaji wa Memorundum

Kila la heri

Dumelang
kwa kuongeza pia unahitaji kuwa na operational manual
 
Hapa unazungumzia mchanganuo mzma wa ufanyaji kaz!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
yap! na nani anafanya nini na pia unatakiwa uwe na mtu angalau mmoja mwenye knowledge kwenye financial management sio lazima awe amefanya coarse za banking lakini awe na uwezo wa kuelezea transaction vizuri.
 
hapo nmekupata kaka!

Sent using Jamii Forums mobile app
ila usiogope sio lazima utimize vyote unaingia vitani halafu vingine utapigana vita kiume kwa kadri itakavyokuwa inakwenda. hivyo kama umedhamilia we ingia tu wakati mwingine tunatoa ushauri ambao unaweza kukutisha na usiweze kufanya kwa kuwa wengi ya watu wenye uelewa mara nyingi ni waoga kupata hasara kwa hiyo muda mwingi tunashauri kucontrol risks.
binafsi nilifanya kwa kiwango kidogo kimyakimya bila kusajiri wala nini ili nione changamoto zake kwanza kwakweli ilinilipa japo mwisho walikimbia na madeni yangu na niliwaacha sikuwafatilia tena kwakuwa mtaji wangu nilishatoa na faida nilishapata.
hivyo anza kimya kimya pia.
kingine ni vizuri kuwa na wateja wa kipato cha chini wengi kuliko wa kipato cha kati kwakuwa hawa watakusumbua na wana lugha nzuri za kukushawishi wasilipe kwa wakati. japo pia unahitaji kuwa mkali kwa kwa biashara hii vinginevyo utavuna mabua.
 
Back
Top Bottom