How to prevent "Infidelity"

How to prevent "Infidelity"

Nitaenda kuwaomba CCTV Watengeneze kifaa maalumu unamuwekea mwenzi wako bila yeye kujua na kinarekodi kila kitu.Nadhani hii itakuwa dawa tosha.
 
Ok.... I'll come with my companion....!!:becky:

Chama chetu uzuri hakina INFERIORITY COMPLEX kwa kuwa unadumisha mila zetu basi ni vizuri tu na ni jambo jema kwa kuwa tutaongeza usajili kwa huyo companion wako
 
Nitaenda kuwaomba CCTV Watengeneze kifaa maalumu unamuwekea mwenzi wako bila yeye kujua na kinarekodi kila kitu.Nadhani hii itakuwa dawa tosha.

ZD uzuri ni kuwa wanachama ISC hawawezi kuwa detected au recorded na instrument yoyote tuna kitengo cha IT ambacho hakiruhusu VIRUS yoyote yule ku attack members wetu
 
Chama chetu uzuri hakina INFERIORITY COMPLEX kwa kuwa unadumisha mila zetu basi ni vizuri tu na ni jambo jema kwa kuwa tutaongeza usajili kwa huyo companion wako

Thats my girl! Awe kama avatar yako... sawa? I will do the needful!

Thats where u are both mistaken......
My companion is a MAN!!! :becky::becky::becky:
 
ZD uzuri ni kuwa wanachama ISC hawawezi kuwa detected au recorded na instrument yoyote tuna kitengo cha IT ambacho hakiruhusu VIRUS yoyote yule ku attack members wetu
Tutatumia ''UPAKO'' Maalumu.we subiri tu watu watakavoumbuka mwaka huu.Hakuna cha ditekta wala antivairasi
 
Thats where u are both mistaken......
My companion is a MAN!!! :becky::becky::becky:
Ok No Problem! Ukuje naye tutamsajili kwenye chama chetu halafu rule namba tatu ita-apply!
 
Haina tatizo anasajiliwa pia ili aendelee ku du the nidful to otherzz

Ok No Problem! Ukuje naye tutamsajili kwenye chama chetu halafu rule namba tatu ita-apply!

Well....according to sheria zetu za upinzani:
Member haruhusiwi kuwa registered mara mbili....
Sooo registration ya huko kwenu haitawezekana...!!!:smile-big:
 
Napenda wajasiriamali kama wewe...always unaona opochunitez....
Well....according to sheria zetu za upinzani:
Member haruhusiwi kuwa registered mara mbili....
Sooo registration ya huko kwenu haitawezekana...!!!:smile-big:
Sisi tunaruhusu duo membership....sasa atapewa nafasi afanye maamuzi yake...
Katibu hebu nukuu hii....fungu lipo la kutosha!
Tayari....Finest anakaribia phd sasa....
...There you go girl, mwanzo mzuri. and thou companion shall be converted!!!

Ameen!
 
Hizo zote mbio za panya......:A S tongue:
 
Back
Top Bottom