How would you like to die?

How would you like to die?

Haahaaa....acha fix hakuna ajuae siri ya kifo only muumba tu! Na alituweza asee!

Yaan ingekuwaga mtu anakufa then anarudi na wabongo kwa kuongeza chumvi stori asee pasingekalika! Ingekuwa total disaster!
😂😂😂😂😂 yani ndio mimi niende alafu nirudi weeee kwanza naita press alafu hizo fix zake nahakikisha watu wote wanaokoka kesho yake vyombo nipige mwenyewe tu 😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani ndio mimi niende alafu nirudi weeee kwanza naita press alafu hizo fix zake nahakikisha watu wote wanaokoka kesha yake vyombo nipige mwenyewe tu [emoji23][emoji23]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] umeona eeh, mbongo akifa halafu akarudi huwezi pewa uhalisia zaidi ya fix tu! Tena za kutisha tisha tu kumbe ukute kule amani tu full raha!
 
Kifo ni mziki mwingine, nilishuhudia mtu akikata roho hospitalini,acha kabisa.
 
Siku moja niliota ndoto ya maono, kwa sekunde sifuri nilipiga chabo peponi, sijawahi kuona uzuri na utukufu wa aina hiyo. Ama kweli duniani ni mateso, mimi nasubiri kifo kama ninavyosubiri X-mas na mwaka mpya. Lakini sio kila mtu ataenda peponi ila ni kulingana na matendo yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom