Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
with yule yule. angalia muvi ya Captain America: The first Avanger ilivyokuwa.Sasa ukifufuka baada ya 1000 years unakuwa wit yuleyule au tofauti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
with yule yule. angalia muvi ya Captain America: The first Avanger ilivyokuwa.Sasa ukifufuka baada ya 1000 years unakuwa wit yuleyule au tofauti?
Asee mi mwanaume mzuri hapana...
Kiveepe?Naona kama kuna ka ukweli fulani hapo
😂😂😂😂😂 yani ndio mimi niende alafu nirudi weeee kwanza naita press alafu hizo fix zake nahakikisha watu wote wanaokoka kesho yake vyombo nipige mwenyewe tu 😂😂Haahaaa....acha fix hakuna ajuae siri ya kifo only muumba tu! Na alituweza asee!
Yaan ingekuwaga mtu anakufa then anarudi na wabongo kwa kuongeza chumvi stori asee pasingekalika! Ingekuwa total disaster!
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] umeona eeh, mbongo akifa halafu akarudi huwezi pewa uhalisia zaidi ya fix tu! Tena za kutisha tisha tu kumbe ukute kule amani tu full raha![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani ndio mimi niende alafu nirudi weeee kwanza naita press alafu hizo fix zake nahakikisha watu wote wanaokoka kesha yake vyombo nipige mwenyewe tu [emoji23][emoji23]
Ilikuwaje?Kifo ni mziki mwingine, nilishuhudia mtu akikata roho hospitalini,acha kabisa.
Alikuwa anahangaika sana kuvuta pumzi na kuhema rapidly , baada ya dakika kadhaa akazima ghaflaIlikuwaje?
Hivi ni kwanini... Huwa kuna kitu huwa kinavuta roho ama? Mbona kuhangaika?Alikuwa anahangaika sana kuvuta pumzi na kuhema rapidly , baada ya dakika kadhaa akazima ghafla
Malaika mtoa roho (Israel)Hivi ni kwanini... Huwa kuna kitu huwa kinavuta roho ama? Mbona kuhangaika?
Real? Sio myth?Malaika mtoa roho (Israel)
Yah, but this is spiritual believe. Others do not believe soReal? Sio myth?
I'm among of them (spiritual believer)but I don't trust Israel blah blah....Yah, but this is spiritual believe. Others do not believe so
That's why I said, it is a spiritual matter. Spiritual believes differ, Muslims we believe soI'm among of them (spiritual believer)but I don't trust Israel blah blah....
Ok mkuu thanxThat's why I said, it is a spiritual matter. Spiritual believes differ, Muslims we believe so
bado bado ngj kidogo muda wangu ufike utanigei namba zao.wapo ma expert wa kazi hizo kama utahitaji painfull death
Nawe piasafari njema bro siku ukifa