Okay wakuu;chukua hiyo karatasi ya mraba wa 10cm by 10cm.chora diagonal lines,ile point of intersection ndio centre ya karatasi yetu.shika kila kona ya karatasi,ivute kwenda centre kisha isawazishe vizuri.Eneo la karatasi litapungua kwa kiasi cha pembetatu nne zenye jumla ya eneo la [(1/2*5cm*5cm)*4]=50cm2 na utabakiwa na eneo la 50cm2 na unene wa karatasi utaongezeka mara mbili.