How?

How?

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,437
Reaction score
1,027
Mtoto sara ana karatasi mraba yenye urefu na upana wa 10cm by 10cm.Eneo la hii karatasi ni 100cm^2.Msaidie kwa kutumia karatasi hiyo hiyo aunde eneo la mraba la 50cm^2.
 
sina jibu ila 10x kwa kuhamia huku
 
Mh nimejaribu hapa ila naona akili imechoka kidogo. Ngoja nitaamka nalo hili kesho
 
Okay wakuu;chukua hiyo karatasi ya mraba wa 10cm by 10cm.chora diagonal lines,ile point of intersection ndio centre ya karatasi yetu.shika kila kona ya karatasi,ivute kwenda centre kisha isawazishe vizuri.Eneo la karatasi litapungua kwa kiasi cha pembetatu nne zenye jumla ya eneo la [(1/2*5cm*5cm)*4]=50cm2 na utabakiwa na eneo la 50cm2 na unene wa karatasi utaongezeka mara mbili.
 
Back
Top Bottom