Hoyce Temu kaanza mwaka vibaya

Hizo ndio akili za watanzania wengi
 
Aseehh...mtihani kweli ila km alichofanya ni Kweli kaharibu reputation ya nvhi,haya mambo tufanyieni nyumbani jamani mpk Kwa watu ni taifa la aina Gani hili...Anaharibia wengine pia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Kama alitumia akili, mbona imegundulika Sasa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan hoyce hajasoma? Uwiiiih

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda ikawa since na u miss wake alikuwa kachero
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan hoyce hajasoma? Uwiiiih

Sent using Jamii Forums mobile app
Form six Ndo Elimu yake nadhani na vikozi mshenzi mshenzi akaingia kwenye kusaidia watoto,akaolewaga na yule mbaba Mme WA mtu wa Zimbabwe sijui Zambia akaachika(hee huu Sasa umbea),Sasa hapa sijui yule bwana Ake au mmewe Ndo alimpigia cross pande huko UNDP but I think mmoja wa madanga yake Ndo alimfannyia ishu maana si alikua km mwanaharakati wa watoto so it was rahisi kupata kazi huko UNDP
Ila mim alivyochaguliwa nilidoubt sema Ndo hvyo tena maana riziki mtoaji Mungu
Hoyce huyu kashawahi kulewa akaanza kutoa mitusi mizito Instagram yaani mizito we huwezi tamka,huyu hoyce alionesha racism live live kwenye miss Tanzania ya Richa adhia!!!
Sometimes Mange tunamuona shoti ila mange anawajua Hawa watu nje ndani maana they used to be in the same circle ya wadada wa mjinj
 
Hii hatari

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 

Sina uhakika sana lakini alisoma sauti na Mara ya mwisho alikua anafanya PhD open. Hilo ndio nnalolifaham, sijui kama aliimaliza hiyo PhD lakini nna uhakika kwamba alikua anasoma.
 

Umeingea point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…