mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Wampeleke manara sasa huko UN
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wampeleke manara sasa huko UN
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa mnooo.Wampeleke manara sasa huko UN
Ova
Ehh ndy vetting zetu hizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa mnooo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una connection nzuri hiyo vetting sio lazima.Jamani vetting system ya hii nchi iko wapi?
Nchi kama uswiz unampel3ka mtu ambaye uwezo wake mdogo na kuwa top hapo kuiwakilisha nchi
Hata mie naweza kuwa balozi km hvyoo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nchi kama uswiz unampel3ka mtu ambaye uwezo wake mdogo na kuwa top hapo kuiwakilisha nchi
Hebu hii serikali iache kutoa vyeo vya kupeana peana
Ndomana cheo cha ubalozi sahv hadhi imeshuka sana
Ova
Usipogundulika sisi hatuwezi kujua kama ulitumia akili!Kama alitumia akili, mbona imegundulika Sasa?
Wewe acha upuuzi,hii sio insta.Mimi simu yangu aioneshi picha ila najibu kulingana na komenti za watu mimi hapo nashauri uyo mtoto aliye fanyiwa icho kitendo akimbizwe hospitali na huyo mtuhumiwa akamatwe afungwe kifungo cha maisha mana ataendelea kuharibu watoto wengine kama watamuacha huru
Mzee umeongea kwa uchungu sana ila kuna point moja muhimu sana ambayo umei-miss. Ni kweli kabisa wenzetu wameendelea kutokana na sababu hizi ulizozitaja hapa, wakati sisi bado.Tuna wasomi kama wao , tuna vitabu kama wao, tuna vyuo vikuu kama wao ,tuna serikali kama wao ,tuna watu kama wao wanaume Kwa wanawake . Tunazaana kama wao ,tunakula kama wao,tunakunya kama wao ila tuna Rasilimali nyingi kuliko wao . Chaajabu tuna umaskini mkubwa kuliko wao.
Siku za nyuma kabla ya kuwa balozi ilikuwa lazima uwe mwajiriwa wa Foreign Affairs; upandishwe madaraja hadi kufikia ngazi ya Balozi. Ilikuwa inachukua muda, Ila mtu anakuwa ameiva.Huwezi ukampa mtu ubalozi aliekua Miss, hakuna Miss mwenye Akili, ila kwasababu Watanzania hatupendagi ukweli na tunataka Wajinga ndio hayo.
Yaani Kenya wapeleke former Miss kwenye UN kweli?? Ambapo ndio kitovu cha Dunia
Anakutana na watu waliosoma Harvad, MIT, Cambridge etc wewe unaenda kuongea nao nn
Hii ni aibu ya mwaka.Huko mitandaoni kuna Pepa la Hoyce Temu kutoka UN, Watasha wameropoka mbaya, Nimeliona kwa Mange kimambi na kwa @tzshadeeroom_backup inasemekana muwakilishi wetu huko Geneva alikua anazipiga sana chapaa za UN na alikua anatumia vyeo vya watu kupenya na kupiga mpunga. Yaani kwenye pepa ametajwa mdogo wake yule mtukanaji.
Dah UN wamemwaga ugali halafu huku sis ndio tumempa mboga apeleke huko Geneva kutuwakilisha kwa UN. Sasa sijui itakuaje?View attachment 2465517View attachment 2465520
Hapa ndio umemaliza mzizi wa fitna.Hii ni sibu ya mwaka.
CC: Mama ANNA MKAPA
Hilo nalo nendeni mkalitizame!Aibu tunaona sisi
Jamaa kaona ni jambo la kujisifia kabisaaa[emoji849][emoji849][emoji849]Unadhani kwanini watanzania tunajulikana kama wezi na wavivu? Ni kwa sababu ya kuwa na watu wa aina hiyo, kule wanasema mtanzania na anatuwakilisha watanzania kuwa ndio tabia yetu hiyo..
Sasa kama unaona ni jambo ambalo halina impact yoyote kwa taifa basi sawa
Ah mie nawaachia wenyewe mm niko mbioni kuukananhuu utaifa wa TanzaniaHakuna cha ukachero hapo
Vyeovyeo vya kuokotakana hivyoo
Mpe yule nafasi apate ulaji tu
Ova