Hoyce Temu na Wabaguzi Mamboleo!

Hoyce Temu na Wabaguzi Mamboleo!

Mh.kiwanga wa chadema nae jana kamuita mbunge mwenzake sio mtanzania.
Hata mbunge? Tena ndani ya bunge tukufu anatoa matamshi ya kibaguzi
 
Alikuwa bado binti mdogo...
Hata ukubwani anadaiwa kufanya mambo ya ajabu alipokuwa ameajiriwa kabla ya kuteuliwa kuwa balozi.

Nimesoma hukumu ya tribunal ya Umoja wa Mataifa ya Disemba 2022 alikokata rufaa baada ya kufukuzwa kazi UNDP; inaonekana alikuwa anafanya kazi kibongo bongo vile kama vile kaajiriwa na serikali ya Tanzania.

Hii ni ushahidi mwingine wa umuhimu wa kuteuwa watu wenye uelewa na wanajua umuhimu wa professionalism kwenye kazi. Sijui hata kama vetting ilifanyika kabla ya kuteuliwa kuwa balozi.

Kwa hii hukumu sijui anatuwakilishaje huko UN Geveva. Credibility yake imechuja professionally na itabidi iliyempeleka huko afanye maamuzi stahiki for the country's best interest.

Ingekuwa nchi za watu angeshajiuzulu huyu ila kibongo bongo mpaka mteuzi amtumbue. Wengine watadai kabaguliwa kama alivyodaiwa kumbagua huyo mhindi. Karma?
 
Back
Top Bottom