INAUZWA Hp for sale

INAUZWA Hp for sale

400K Cash ipo hapa!!!
Nenda jumia kanunue laptop safi refurbished kwa pesa hiyo labda utaongeza 50 tu unapata laptop yenye core i5, kama jamaa anaona mzigo wako mdogo.
 
jumia ndiyo wapi mkuu maana mi mwenyewe nahitaji laptop ila mkono wangu ni mfupi nahitaji za bei ndogo ila ambazo zipo standard
 
Tumia smartphone yako vizuri mkuu ingia Google play type jumia Hao jamaa watakuletea kitu mpaka ulipo kama ukiwa Dar inclusive gharama ndogo ya usafiri ukiipenda bidhaa ndio unalipa pia wanaweza kukuelekeza duka husika,yani Hao sio duka ila ni platform inayomkutanisha muuzaji na mnunuzi.
Hapa tu notification yako imenikatisha nasaka Men watches nijipongeze kwa kufunga mwaka.
NB:Teknolojia inatusaidia kutatua matatizo yetu jaribu ujionew hutajuta wana varieties zote.

Sent from my LG-F320L using JamiiForums mobile app
 
Jumia hapati mkuu vitu vyao viko juu kinoma KUPATANA pekee ndipo mahala ambapo atapata kwa bei hiyo na used mpya hupaiti PC iliyo standard
 
jumia ndiyo wapi mkuu maana mi mwenyewe nahitaji laptop ila mkono wangu ni mfupi nahitaji za bei ndogo ila ambazo zipo standard
Tafuta kwanza maana ya refurbished aliyosema jamaa...usije juta baadae
 
Laptop aina ya hp inauzwa
Hard disk 1TB
Ram 8 GB
Processor core i7
Bei laki nane(800k)
[HASHTAG]#0675990776[/HASHTAG]
0415c3a7f62571eca197f99555b85b72.jpg
72e20537f41443ae10d8efa4d96e4281.jpg
e7abb7bd472691221de484e570c62136.jpg
Unapatikana wapi?
 
c15528da1cd4967d972047dff20be3b8.jpg
sio kwa skrach izi kwamba imetumika mwez mmoja...kuwa muwaz mkuu nina 400000 chap
 
Sio kweli kwa hizo pictures ina at least mwaka
cheza mbali na kitu used toka mikononi mwa mbobgo, otherwise uikague kuanzia ndani. kwa mwezi mmoja naweza kubaliana naye kama nayeye alinunua kwa MTU.
 
Back
Top Bottom