Computer4Sale Hp Laptop inauzwa

Computer4Sale Hp Laptop inauzwa

Mkuu mali hujauza hii mbona ofa yangu umeikataa kibabe... Heheheehee
 
Mkuu tatizo siuzii njaa... PC Iko sokoni huku inanifaa mwenyewe.. Kwahyo atakayetokea na ofa ya maana namuachia ... Otherwise naitumia mwenyewe mzigo uko vyema tuu naendelea kuutumia mwenyewe

Biashara maelewano mkuu Unataja bei yako ya mwisho tu
 
Back
Top Bottom