HT T I7P MAZEMBE ATAONGOZA 2..NIKO PALE KWA MANGI WAKALAA

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Tukihahahaaa kupata mil 5 ya mama.leoooi mpaka sasaaa sahani iasomaa ht yanga tumepigwa 2-0

kipindi cha pili tutapata goli kupitia mmoja wa mabeki wetu ama wa katiiiii

kama juhudi zikiendelea naona Yangawakipewa penalty ingawa zitakuwa zimebk dk nyiingi

hapa mashabiki mkitarajia timu drw mmoja anaamka na kumaliza sherehe za mwenzie

Kila la.kheri
 
Young African WIN

Km bado hujaweka mkeka kaweke sasa hivi

Young African 2-1 Tp Mazembe

Msije sema ni ushirikina ni maono tu
 
Kitu Yanga wana uhakika nachoo leo nnkutoka na ile mil 5 ya mama...kungekuwa na mkeka ningebet Yanga kajiandaaa ila tp kajiandaa zaidi cya ft

Nikohapa kontena pemben ya uwanja wa mkapa madadaa pisikali kama woteee yaani yangaaa balaaa mapemaaa
 
Mkuuuuu KALE HELA YA HT HIO...FT ANAJUA MAZEMBE NIKOKWAMANGIWAKALA HAPA
HT
Yanga 1-0 Tp Mazembe

FT
Yanga 2-1 Tp Mazembe

Usije sema sikukwambi

Jana nilisema Simba wanafungwa na kweli Jana kachezea kichapo kikali 3 Nunge sasa leo kaa mkao mzuri utaelewa nilimaanisha nini
 
Nikohapa kontena pemben ya uwanja wa mkapa madadaa pisikali kama woteee yaani yangaaa balaaa mapemaaa
Wanaenda kushangilia ushindi hao usiwaone wanaenda bure,
 
GG&2.5 OV
NALALALAAAAA
12&3+.......
 
Ameshindaasanaa drw mkuu
HT
Yanga 1-0 Tp Mazembe

FT
Yanga 2-1 Tp Mazembe

Usije sema sikukwambi

Jana nilisema Simba wanafungwa na kweli Jana kachezea kichapo kikali 3 Nunge sasa leo kaa mkao mzuri utaelewa nilimaanisha nini
 
Wanaenda kushangilia ushindi hao usiwaone wanaenda bure,
Jamaa zaooo wamekaa pemben kama wanataka kufumania mkuu nashangaa tu wanagiziwaa vinywaji nankutingishaa mauno mashallah
 
😂😂😂 Mpira ukiisha wanaenda kuwapa mauno mengine ngoja gemu iishe uone leo pataeleweka tu pale,
 
Kitu Yanga wana uhakika nachoo leo nnkutoka na ile mil 5 ya mama...kungekuwa na mkeka ningebet Yanga kajiandaaa ila tp kajiandaa zaidi cya ft

Nikohapa kontena pemben ya uwanja wa mkapa madadaa pisikali kama woteee yaani yangaaa balaaa mapemaaa
Waliiniolewa niliwapa mpaka cs ft 3-1
Vs
 
Back
Top Bottom