Htimaye waasi wa M23 waamua kuondoka

Htimaye waasi wa M23 waamua kuondoka

kadeti

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
1,115
Reaction score
1,105
Waasi wa m23 wameanua kuondoka maeneo ya Richuru uko Goma kwa kile kinachodaiwa kwamba ni kuiheshimu Jumuiya ya nchi za Afrika Mashariki, lakini mimi sioni kama hilo litatekelezwa kwa muda mrefu na M23.
 
Waasi wa m23 wameanua kuondoka maeneo ya richuru uko goma kwa kile kinachodaiwa kwamba ni kuiheshimu jumuia ya nchi za Afrika mashariki, lkn Mimi sioni km hilo litatekelezwa kwa muda mrefu na m23.
Hatimaye(khatimaye),sio Atimaye.
 
Wamejiondoa kwenye kamji kamoja kadogo. Wanafanya siasa tu.

Kuwapongeza au kuona hii kuwa ni hatua ya maana ni kupotezwa maboya.

Hawa kwa amani ya kudumu walipaswa kufurushwa kibabe kote kabisa wanakokudhibiti.
 
Hatimaye(khatimaye),sio Atimaye.
Mbona unatafuta perfectionism mkuu are you really perfectionist? Duu haya bana Ni Aina ya nature ya watu. Nadhani Kama iyo nature Kuna mahala upo applicable na Kuna mahala hutokuwa applicable. Nadhani inatakiwa uletewe vitabu ama magazieti uharriri
 
Ndo kamaliza juzi shule uyo......
 
Mbona unatafuta perfectionism mkuu are you really perfectionist? Duu haya bana Ni Aina ya nature ya watu. Nadhani Kama iyo nature Kuna mahala upo applicable na Kuna mahala hutokuwa applicable. Nadhani inatakiwa uletewe vitabu ama magazieti uharriri
Sio "uharriri" ni uharriri mkuu (joking)
 
Usijali namie nimefanya purposely. We're socializing here na ndio Mana inaitwa social forum. Kila mtu anaji express freely kikubwa tu usivunje Sheria ama kudharau wenzako
 
Pk mdwanzi tu na genge lake, huyu ilipaswa adundwe yeye na genge lake lote, kanchi kenyewe kale ka Rwanda kama mabwe pande tu, bomu mbili tu zingetosha kumaliza kila kitu,, tushachoka kila siku yeye tu, ana roho mbaya sana pk ndo maana hanenepi ka ana ngwengwe..
 
Wameogopa kipondo ambacho watakipata baada ya nchi za east africa kudhamiria kuingiza kikosi kuwafurusha na pia marekani, ufaransa na ubelgiji kuiambia rwanda iache kuwasaidia
 
Waasi wa m23 wameanua kuondoka maeneo ya richuru uko goma kwa kile kinachodaiwa kwamba ni kuiheshimu jumuia ya nchi za Afrika mashariki, lkn Mimi sioni km hilo litatekelezwa kwa muda mrefu na m23.
Mkuu ingependeza ungeweka na ‘link’ ya chanzo chako cha habari.
 
Waasi wa m23 wameanua kuondoka maeneo ya richuru uko goma kwa kile kinachodaiwa kwamba ni kuiheshimu jumuia ya nchi za Afrika mashariki, lkn Mimi sioni km hilo litatekelezwa kwa muda mrefu na m23.
Rwanda waache michezo michafu
 
Ila ni aibu nchi kubwa ya drc zamani ikiitwa zaire kuchezewa na vikundi vya waasi mashariki mwa nchi hiyo. Wakizembea hiyo nchi itamegwa na kuwa nchi nyingine. Wakajifunze tanzania ambayo nayo ni nchi kubwa lakini hakuna wahuni watakaoichezea mipaka yake yote wawe wa nje au wa ndani watapigwa mapema wakiwa bado hawajaanzisha uasi
 
Back
Top Bottom