mambo gani hayo yanayofanyika toi ili kuondoa hasira 😳Naenda toi nafanya mambo yakiisha hasira zimeisha
Mimi nikiwaga na hasira huwa nakunywa sumu ama kujinyonga na siku moja niliwahi kujipiga risasi kisha nikajichoma mkuki nikafa!Hellow bosess;
leo saa tatu hii usiku kwa sababu zilizipo nje ya uwezo wangu kuna jambo lilinipa Hasira na kunikasirisha sana, nikajaribu kunyamaza ili zipungue nikaona haina matokeo ya haraka
Nikaa mau kuchukua ngua zangu chafu nikaenda kufua hasira nazo zikapungua sasa ivi fresh tu
Najikumbusha Now You See me 2 - MBC 2 hapa sina Hasira Hata chembe
Kama Hasira Ni hasara Hua unafanya nini kuepuka Hasira??