Hua unatulizaje Hasira.??

Hua unatulizaje Hasira.??

Nikikasirika huwa hili neno linanijia
Efe4:26 iweni na hasira lakini msitende dhambi.
Muh 7:9 Usiwe mwepesi wa kukasirika moyoni mwako,maana hasira hukaa kwa wapumbavu.
Nikilikumbuka hili naishia kulia tu,,napenda kukaa sehemu mwenyewe namuomba Mungu anipe amani ya moyo,,,nakunywa maji zinaniisha.

Nina hasira kali Sana ila za muda mfupi na hasira Ni hasara.. huwa sipendi kupata hasara kizembe
 
Hasira ni nini?
Me sijawai kuwa na hasira.
Sometimes it happens my mood inakuwa so down, unasikia kitu kinakaba shingoni ( hiyo ndio hasira)?
 
1. Kwanza nakaa mbali na chanzo cha Hasira. (hua naogopa kuchukuamaamuzi mabaya)
2. Siongei na mtu yoyote ata kwa saa 3 - 4 (Hapa hua naepuka Kungombana na tu mwingine, mtu anaweza akaniamba vp cyber nika mjibu tusi)
3. Kama mi mida ya mchana hua na vaa sweta naenda kutembea barabarani hata kuwe na jua kali kiasi gani
4. kama ni jioni siwezi kutoka naigia room naangalia movie kwenye pc huku nimevaa headphone. ukiniita hata kama nasikia siji
wewe ni certified mwehu (idiot)
 
Kukasirika kunakusogeza karibu na mauti. Nilivyogundua hili nimejitahidi sana nisikasirike, zamani ilikua kila nikikasirika naende kupiga gita.

Nilipohama eneo jingine sikukuta gita hivyo siku hizi nikikasirika hua napanda mnazi kwa mkono mmoja na hasira zinakata
upo karibu kuanza kupanda Kwa kutumia inyeplus
 
mi ua naropoka aisee, alafu ni mwepesi wa kurusha ngumi, yaani napayuka haswa, naropoka uku nacheka ili kumjaza mtu upepo akijaa ni ngumi tu mwanzo mwisho, ila kama ni ke, yaani ntapayuka mpaka basi
 
Back
Top Bottom