Hua unatulizaje Hasira.??

Mi huwa napigana aisee, ila kwa saiv upepo umeniendea tofauti mapambano yangu mawili ya mwisho nimepoteza. Moja nilikua namfumua manz wangu alileta ujinga wa kuwasiliana na mzazi mwenzie akaishia kunifumua na chuma kichwan nimeshonwa nyuzi kadhaa...lingine jamaa alikua mbavu akaniangushia sakafuni nikatonesha kidonda cha kichwan
 
Binafsi huwa nalia sana na vile hasira zangu hukaa kooni basi mpaka nitapike inakuwa nafuu kwangu
Ila kwa wew waite wape ukweli then kunywa maji pumzika
 
Nikiwa na hasira huwa namkumbuka ex wangu naanza kulia huku nikitoa milaana impate na nakumbuka mabaya yote niliyofanyiwa, naanza ongea peke angu Kama chiz, Naliaaaaa weeee!!!! Nahakikisha mpaka nimekaukiwa maji mwilini, after that hasira ndo zaisha😊
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Umetisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…