maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Hujakasirishwa weweMtu akinikasirisha huwa nacheka au natabasamu
Najua haya maisha ni mapito
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujakasirishwa weweMtu akinikasirisha huwa nacheka au natabasamu
Najua haya maisha ni mapito
mi nikilala naota adi kuota yaliyotokeaNajifungia ndani naanza kuloloma.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nikiwa na hasira huwa namkumbuka ex wangu naanza kulia huku nikitoa milaana impate na nakumbuka mabaya yote niliyofanyiwa, naanza ongea peke angu Kama chiz, Naliaaaaa weeee!!!! Nahakikisha mpaka nimekaukiwa maji mwilini, after that hasira ndo zaisha[emoji4]
Nakusanya nguo naenda kufua
[emoji15]
Hapo nimetoka kulia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Imekuwa muda mporaaa
Ulikua wapi?