Hua unatulizaje Hasira.??

Nikikasirika huwa hili neno linanijia
Efe4:26 iweni na hasira lakini msitende dhambi.
Muh 7:9 Usiwe mwepesi wa kukasirika moyoni mwako,maana hasira hukaa kwa wapumbavu.
Nikilikumbuka hili naishia kulia tu,,napenda kukaa sehemu mwenyewe namuomba Mungu anipe amani ya moyo,,,nakunywa maji zinaniisha.

Nina hasira kali Sana ila za muda mfupi na hasira Ni hasara.. huwa sipendi kupata hasara kizembe
 
Hasira ni nini?
Me sijawai kuwa na hasira.
Sometimes it happens my mood inakuwa so down, unasikia kitu kinakaba shingoni ( hiyo ndio hasira)?
 
wewe ni certified mwehu (idiot)
 
upo karibu kuanza kupanda Kwa kutumia inyeplus
 
mi ua naropoka aisee, alafu ni mwepesi wa kurusha ngumi, yaani napayuka haswa, naropoka uku nacheka ili kumjaza mtu upepo akijaa ni ngumi tu mwanzo mwisho, ila kama ni ke, yaani ntapayuka mpaka basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…