maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
stop dwellingJina lako tu, user ID inajieleza kinachokusumbua.
Unawezaje kujiangalia Keene kioo?Kama namuweza namchana, kama simuwezi naenda kwenye kioo nawachana natukana inanisaidia sana
Ulikua wapi?Kama namuweza namchana, kama simuwezi naenda kwenye kioo nawachana natukana inanisaidia sana
Asisahau na kulia mkuu,nakunywa maji na kulala.
Nipo townUlikua wapi?
Kulia tena!?Asisahau na kulia mkuu,
Umenichekesha sana..!!Wakusanye wote kwa pamoja uwaambie hapo kuna wifi yenu halafu utoke nduki
Ndiyo mkuu, Inapunguza sana khasira na maumivu.!Kulia tena!?
Zaidi ya asilimia 75 ya mwili wa mwanadamu ni maji. Unakivuna ulichopanda. Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyoU
stop dwelling
Ni ngumu sana kwangu iyo nzur kwa nyie watoto wazurNdiyo mkuu, Inapunguza sana khasira na maumivu.!
Nshawachana zee na hasira zimeanza kushuka mdogo mdogoNdo njia pekee mkuu waite wachane tu walipokosea ili ubaki na amani
Ila ukisema utumie njia nyingine utafeli
Nitakufundisha kulia mkuu.!!Ni ngumu sana kwangu iyo nzur kwa nyie watoto wazur
Umeanza kutoa semina?Zaidi ya asilimia 75 ya mwili wa mwanadamu ni maji. Unakivuna ulichopanda. Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo
Unaeza chukua mwaka mzima kunifundisha na nisieleweNitakufundisha kulia mkuu.!!
Ni rahisi sana, kwa kuanza kunywa maji mengi ya kutafutia machozi.!