Hua unatulizaje Hasira.??

Hua unatulizaje Hasira.??

Kwanza kabisa jitahidi kujipa muda leo ni kuweza kupunguza hasira ili uweze kufanya maamuzi sahihi.

Usikae eneo hilo hilo kwenye ambako mgogoro umeanza toka hata kwa dakika 10 kama hata ni nje nenda kidogo upunge upepo kama hata hapo nje kuna sehemu wanauza vocha jaribu nenda kanunua kish urudi.

Ufanye maamuzi ukiwa kwenye hali ya kawaida na Sio ya hasira.


Mbinu ni ongeza muda toka mgogoro ulipotokea na wakufanya maamuzi kwa kadri uwezavyo mkuu.

Hapo juu nimetoa mfano mdogo wa kujipa muda ila angalia mazingira yanayokuzunguka.
 
Ndo njia pekee mkuu waite wachane tu walipokosea ili ubaki na amani

Ila ukisema utumie njia nyingine utafeli
 
Back
Top Bottom