maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Ndio naikumbukaUnakumbuka ile video ya Johny- Yemi alade?
Mmmmh kulia utata madam
No gey around meTry fvcking
Nikiwa kwene hali yangu ya kawaida siezi Fanya maamuzi maana nna aibu some how, koo huwa nategemea upepo wa hasira kufanya maamuziKwanza kabisa jitahidi kujipa muda leo ni kuweza kupunguza hasira ili uweze kufanya maamuzi sahihi.
Usikae eneo hilo hilo kwenye ambako mgogoro umeanza toka hata kwa dakika 10 kama hata ni nje nenda kidogo upunge upepo kama hata hapo nje kuna sehemu wanauza vocha jaribu nenda kanunua kish urudi.
Ufanye maamuzi ukiwa kwenye hali ya kawaida na Sio ya hasira.
Mbinu ni ongeza muda toka mgogoro ulipotokea na wakufanya maamuzi kwa kadri uwezavyo mkuu.
Hapo juu nimetoa mfano mdogo wa kujipa muda ila angalia mazingira yanayokuzunguka.
Mimi nimetulia alone na naskiza no apologize ya Eminem nimeweka ijirudieMimi huwa napenda kutulia peke Yangu tu
Ndio naikumbuka
DuuhJamaa alitakiwa awaite kabla yeye ajawahiwa. Ukiwahiwa ndio hasira zinakujia kama huyu mtoa post 😁
Am not telling you who to fvck. Am just saying try fvking as your therapy.No gey around me
Imekuwa muda mporaaaKama namuweza namchana, kama simuwezi naenda kwenye kioo nawachana natukana inanisaidia sana
sawa inaweza nipunguzia kiasi flani, ila mi naaminiga sana magey na eneo nililopo hawapoAm not telling you who to fvck. Am just saying try fvking as your therapy.
Hivo ndo siwezi kabisa, ntasinzia chap sanaMkuu, weka Cartoon ya "Tom & jerry" uangalie hasira zote zitakwisha [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
*Kunywa maji ya uvuguvugu,Poleni na uchovu wanajf, nisiwachoshe, Leo niko na hasira plus maumivu makali asa hizi hasira zina no drive vibaya
Nipeni mbinu ambazo huwa mnazitumia kumaliza hasira zenu, maana mi chochote kinaweza tokea
Apa nimepanga niwaite niwawekee kikao niwachane waache ushamba maqumer hawa
hizo hasira chanzo ni nini kwani?Mi hapa nilipo nimelala ila bado hasira hazipungui asee
kulia sasa ni habari nyingine, inategemeaAsisahau na kulia mkuu,
Got you, thanks
*Kunywa maji ya uvuguvugu,
*Vuta hewa nyingi ndani halafu itoe taratibu hadi iishe uwe unarudia rudia zoezi,
*Fanya kitu unachokipenda mfano kuangalia aina ya movies unazozipenda
*Kaa na ndugu,jamaa au rafiki wenye busara na upendo wa dhati na wewe washirikishe kwa ushauri
*Kuwa na kampani inayokuchangamsha
*Soma vitabu vya dini au sikiliza audio (kulingana na imani yako)
*Kula sana msosi, sikiliza mziki, lala kitandani tia headfone masikioni weka playlist miziki unayopienda
...
*Usinywe pombe wala kuvuta, hutoondoa tatizo utakuwa unalisnooze tu.
*Usikae peke yako
*usifanye mambo ya msingi yanayokutaka utumie maarifa mengi ukiwa na hasira
*usijiapize, wala kumkabili kwa maneno mtu ambaye amekusababishia hizo hasira/maumivu
..NB: KUFANYA KITENDO CHA KUMKABILI ALIYEKUSABABISHIA HASIRA, HUENDA KIKAPELEKEA MATATIZO MAKUBWA ZAIDI, AMBAPO UKISHAPOA UNAWEZA KUJIKUTA UNAJUTIA MAISHA YAKO YOTE
1.Kupiga(na) kujeruhi (wa)..kuua
2. Kufungwa jela
3. Kuvunja mahusiano jumla
4. Kujishushia heshima katika jamii.
Una sekunde kadhaa za kufikiria maamuzi yako kabla hujayatenda, fikiria tukio kama la kifo mwanamuziki uganda aliyegombana na bounser wa club akaumizwa kichwa akafa, n.k
We jua tu hasira, maana nkikuelezea zitaanza upyahizo hasira chanzo ni nini kwani?kulia sasa ni habari nyingine, inategemea
Yaani hasira zimepanda hadi kila mtu naona mbaya kwangu koo bora nistay aloneMimi napunguza kwa kulia na kufanya kazi nyingi siku nikiwa na hasira.