Hua unatulizaje Hasira.??

Hua unatulizaje Hasira.??

Kwanza kabisa jitahidi kujipa muda leo ni kuweza kupunguza hasira ili uweze kufanya maamuzi sahihi.

Usikae eneo hilo hilo kwenye ambako mgogoro umeanza toka hata kwa dakika 10 kama hata ni nje nenda kidogo upunge upepo kama hata hapo nje kuna sehemu wanauza vocha jaribu nenda kanunua kish urudi.

Ufanye maamuzi ukiwa kwenye hali ya kawaida na Sio ya hasira.

Mbinu ni ongeza muda toka mgogoro ulipotokea na wakufanya maamuzi kwa kadri uwezavyo mkuu.

Hapo juu nimetoa mfano mdogo wa kujipa muda ila angalia mazingira yanayokuzunguka.
Nikiwa kwene hali yangu ya kawaida siezi Fanya maamuzi maana nna aibu some how, koo huwa nategemea upepo wa hasira kufanya maamuzi
 
Mkuu, weka Cartoon ya "Tom & jerry" uangalie hasira zote zitakwisha [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Hivo ndo siwezi kabisa, ntasinzia chap sana
 
Poleni na uchovu wanajf, nisiwachoshe, Leo niko na hasira plus maumivu makali asa hizi hasira zina no drive vibaya

Nipeni mbinu ambazo huwa mnazitumia kumaliza hasira zenu, maana mi chochote kinaweza tokea

Apa nimepanga niwaite niwawekee kikao niwachane waache ushamba maqumer hawa
*Kunywa maji ya uvuguvugu,
*Vuta hewa nyingi ndani halafu itoe taratibu hadi iishe uwe unarudia rudia zoezi,
*Fanya kitu unachokipenda mfano kuangalia aina ya movies unazozipenda
*Kaa na ndugu,jamaa au rafiki wenye busara na upendo wa dhati na wewe washirikishe kwa ushauri
*Kuwa na kampani inayokuchangamsha
*Soma vitabu vya dini au sikiliza audio (kulingana na imani yako)
*Kula sana msosi, sikiliza mziki, lala kitandani tia headfone masikioni weka playlist miziki unayopienda
...
*Usinywe pombe wala kuvuta, hutoondoa tatizo utakuwa unalisnooze tu.
*Usikae peke yako
*usifanye mambo ya msingi yanayokutaka utumie maarifa mengi ukiwa na hasira
*usijiapize, wala kumkabili kwa maneno mtu ambaye amekusababishia hizo hasira/maumivu
..NB: KUFANYA KITENDO CHA KUMKABILI ALIYEKUSABABISHIA HASIRA, HUENDA KIKAPELEKEA MATATIZO MAKUBWA ZAIDI, AMBAPO UKISHAPOA UNAWEZA KUJIKUTA UNAJUTIA MAISHA YAKO YOTE
1.Kupiga(na) kujeruhi (wa)..kuua
2. Kufungwa jela
3. Kuvunja mahusiano jumla
4. Kujishushia heshima katika jamii.
Una sekunde kadhaa za kufikiria maamuzi yako kabla hujayatenda, fikiria tukio kama la kifo mwanamuziki uganda aliyegombana na bounser wa club akaumizwa kichwa akafa, n.k
 
Got
Got you, thanks

Mimi napunguza kwa kulia na kufanya kazi nyingi siku nikiwa na hasira.
 
Hiki kiswahili cha kusema niko na hasira badala ya nina hasira au wengine niko nakula badala ya ninakula je ni sawa?
 
Mimi napunguza kwa kulia na kufanya kazi nyingi siku nikiwa na hasira.
Yaani hasira zimepanda hadi kila mtu naona mbaya kwangu koo bora nistay alone

Nimegombana na Dada mmoja kwene hiace alikua anaoplay mziki kwa nguvu

Pia nimegombana na konda baada ya yeye kuniuliza nimempa shingap
 
Back
Top Bottom