Hua unatulizaje Hasira.??

Hua unatulizaje Hasira.??

Poleni na uchovu wanajf, nisiwachoshe, Leo niko na hasira plus maumivu makali asa hizi hasira zina no drive vibaya

Nipeni mbinu ambazo huwa mnazitumia kumaliza hasira zenu, maana mi chochote kinaweza tokea

Apa nimepanga niwaite niwawekee kikao niwachane waache ushamba maqumer hawa
huwa naendaga kulala na malaya kisha narudi getho deal done
 
Sasa hapo ndio tatizo ila wewe waite baada ya hasira kupungua wachane kama kweli walikuudhi.
Nikiwa kwene hali yangu ya kawaida siezi Fanya maamuzi maana nna aibu some how, koo huwa nategemea upepo wa hasira kufanya maamuzi
 
Yaani hasira zimepanda hadi kila mtu naona mbaya kwangu koo bora nistay alone

Nimegombana na Dada mmoja kwene hiace alikua anaoplay mziki kwa nguvu

Pia nimegombana na konda baada ya yeye kuniuliza nimempa shingap
Pole sana punguza hasira za haraka yaani konda kuuliza umempa shingap mpendwa una hasira 😀😀😀
 
Pole sana punguza hasira za haraka yaani konda kukuliza imempa shingap mpendwa una hasira 😀😀😀
Yaani ayo matukio yameingilia kati, mi tayari nlishakua na hasira,
Lengo la kukusimulia hayo matatizo no kukuelewsha kua mi nikiwa na hasira huwa sipendi kuchangamana na watu maana kila kitu huwa nakitafsiri tofauti
 
Mtu akinikasirisha huwa nacheka au natabasamu
Najua haya maisha ni mapito
 
Najifungia ndani naanza kuloloma.

Back
Top Bottom