Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Huawei amezindua series za Pura 70 nchini China ikifungua ukurasa mwingine wa maendeleo pamoja na vikwazo vya Marekani.
Ripoti zinasema simu hiyo imetumia zaidi vifaa vinavyotengezwa China kuliko simu yoyote Huawei imeshawahi kutengeneza kabla. Pamoja na hivyo bado Kirin 9010 inayotengezwa na Huawei kuendesha simu hiyo inaonekana bado iko nyuma kulinganisha na zinazotumika kwenye 'flagship' nyingine.
Sifa Zake