Huawei katoa Pura 70, hatari na nusu. Angalau milioni 5 kuikamata

Inaonekana simu ya kawaida sana kwenye performance ukiilinganisha na Toleo la.mwisho la Sumsung na I phone ukizingatia Chipset yake ya Kirin 7nm , naungana na Mdau hio sio simu ya milioni tano huwezi ilinganisha na 24 Ultra labda iwe vizuri upande wa Camera tu, Huwawei kwasasa ni kampuni inyojitafuta na inajaribu kuwa Extraordinary kwenye baadhi ya maeneo lakini hakuna jipya maendeleo yake yapo more horizontal improvement rather than vertical.
 
Eti Huawei ni kampuni ambayo kwa sasa inajitafuta. Najua hujui kuhusu Huawei ndio maana umeandika hizi pumba
Huawei inajitafuta Sokoni kwasasasa perfomance yake haina kitu kipya kuzidi brand kubwa , kama ni mfuatiliaji wa matoleo ya simu utagundua sasa hivi uptrend ya innovation kwanzia upande wa Chip , Camera na Processor imekuwa.sideways , sasa hivi ni mwendo wa kupambania ubora wa features.
Hio.simu sijaona kipya cha kuifanya iwe na thamani ya Milioni tano,Ninunue simu milioni tano nianze kutumia shortcut kibao kupata Google App kweli?
 
Naposoma comments za wadau hapa, najifunza kuwa kumbe hata mtu akiiponda product yangu/yaoo hutakiwi kuchukulia kama big deal, just imagine mtanzania huyu kwenye platform ya Melo anaiponda Huawei, an experienced multibillions global corporation that survived the US sanctions!!...

Hatari kabisaa.
 
Wewe ni masikini

HUAWEI mwaka jana wameuza HUAWEI Mate 60 simu milioni 30

Robo ya kwanza (Q1) mwaka huu wa 2024 net profit ya Huawei kwenye mauzo ya simu imepanda kwa 564%

Baada ya taarifa hiyo Marekani wakarevoke intel na Qualcomms kuexport chips kwa Huawei. But its too late

Na mauzo ya HUAWEI nchini China yameizidi iPhone ambayo yameshuka kwa 18%
 
Akili za vilaza hizo mkuu
 
Hapa wala sio kuponda , hatuwezi kuizidishia sifa Huawei kwasababu imewekewa Vikwazo , inatakiwa isifiwe kwa Pace yao na sio kuhype kishabiki, Hio Pura 40 Pro na Ultra ni simu nzuri ndio lakini je inaendana na bei yake ya milioni tano kama mtoa mada alivyosema , hapa ndio msingi wa Mjadala
 
Huawei wanajitahidi ila waachane na salespoint ya We and them na wafocus kwenye kutengeneza kitu bora zaidi kitakachojiuza kuzidi android phones and IOS na mtu wa kuitetea kama wewe hutotumia nguvu nyingi hapa.
Teknolojia ni mchezo wa mbio ukijikwaa kidogo tu unaachwa mbali Laps kadhaa na mpaka kuwafikia wenzako utatumia nguvu nyingi sana na hapa hakuna cha visingizio sijui vikwazo na nini..
 
Unafikiri kiteknolojia HUAWEI ni kampuni ndogo? Hao jamaa wako juu hata zaidi ya makampuni mengi ya West

Achana na HUAWEI yaani usiizungumzie kirahisi hivyo.

Kama ni OS kaja na Harmony OS na kama kaanza shipment ya simu zenye Harmony OS ina maana ndio tayari hiyo OS imekubalika duniani na watumiaji wa HUAWEI

Mchezo aliofanyiwa na Marekani ingekuwa kampuni ya hovyo ingekuwa imeshajifia kitambo

Kuanzia kwenye R&D mpaka patent filers worldwide katika innovation HUAWEI wako mbali sana

The global patent application rankings from the World Intellectual Property Organization recently revealed 272,600 worldwide PCT patent applications in 2023.

Huawei led the list of applicants with 6,494 PCT patent applications, followed by Samsung (3,924), Qualcomm (3,410).

Na sasa hivi wameanza kutengeneza EUV machines

Huawei maintained its lead as the top global telecom equipment company by revenue in 2023, despite "efforts" by the US government... 😅

🇨🇳Huawei - 30%
🇫🇮Nokia - 15%
🇸🇪Ericsson - 14%
🇨🇳ZTE - 11%
🇺🇸Cisco - 6%
 
Hapa wala sio kuponda , hatuwezi kuizidishia sifa Huawei kwasababu imewekewa Vikwazo , inatakiwa isifiwe kwa Pace yao na sio kuhype kishabiki, Hio Pura 40 Pro na Ultra ni simu nzuri ndio lakini je inaendana na bei yake ya milioni tano kama mtoa mada alivyosema , hapa ndio msingi wa Mjadala
Sawa kaka hamza, usisahau kushusha vitu kwenye group
 
Back
Top Bottom