Kwa leo niishie tu kukuambia hao jamaa wanapepo yao. Ufanisi wa device zao ni suluhisho tosha kwa kizazi kipendacho tech katika simu.Sijaona kigezo cha msingi zaidi hapo cha kuifanya hiyo simu iwe na thamani ya kuuzwa milioni tano
Hivi kwa mfano nikikuuliza ni ipi sababu haswa ya hiyo simu inayofanya iwe na thamani ya kuuzwa milioni tano we utanipa vigezo gani?Kwa leo niishie tu kukuambia hao jamaa wanapepo yao .Ufanisi wa device zao ni suluhisho tosha kwa kizazi kipendacho tech katika simu ,Mambo kama Internet of things,smart scroll na satelite network sio poa mzee .Nitaandika kesho vizuri niishie kukuambia p series neno p ksa huawei ndio hio Pura enjoi kijana
Google Pixel 4 ina hiyo features inaitwa magic eraser.
kajaa kabishi wewe unajifanyaga kila kitu unajua wakati wa mtoni mtongani tengeneza na wewe simu yako madako gakoGoogle Pixel 4 ina hiyo features inaitwa magic eraser.
Tena detection yake ipo very sensitive pengine kuliko hata hiyo Pura ya milioni tano.
Google Pixel 4 haijawahi hata kuifikia Huawei Mate 60 sembuse Pura 70Google Pixel 4 ina hiyo features inaitwa magic eraser.
Tena detection yake ipo very sensitive pengine kuliko hata hiyo Pura ya milioni tano.