Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Baada ya Kampuni ya Lenovo kuwa ya kwanza kutoa laptop Yenye uwezo wa kujikunja kunja (Foldable), Huawei nao wameleta Laptop yenye kujikunja halafu ni nyembamba kuzidi simu unayomiliki.
Najua wengi tumeshazoea kuona Teknolojia hii kwenye simu kupitia Samsung Z flip , Fold na simu zinginezo ambazo zina muundo wa foldable, lakini Sasa Teknolojia hii inakuja kwenye laptop..
Kampuni ya kichina imeachia laptop mpya inaitwa Huawei Matebook Fold, ambapo kwa sasa inapatikana nchini China pekee. Laptop hii imekuja ikiwa na feature mbalimbali.
๐ก Huawei Matebook Fold Specs:
๐ป Kioo chake ni OLED display +7.3mm (0.3inch) ikiwa haijakunywa Wakati 14.99mm (0.6inch) inapokuwa imefungwa na kukunjwa.
โก Laptop hii ina uzito mdogo sana 1.6kg sawa na chupa moja ya maji ya afya + 3.3k resolution inayotoa mwanga mpaka kufikia 1,600 units.
๐๏ธ Imekuja na Ram 32Gb + Storage ya 2TB
๐ช Imekuja ikiwa na Os (Operating system) ya Huawei inayoitwa Harmony Os 5.
Kwa UFUPI:
โจ๏ธ Laptop hii haijaja na keyboard hivyo keyboard iko mule mule ndani ya kioo ukikikunja utaweza kuona keyboard na kuweza kutumia.
๐ก Huawei imetoa Toleo la Os kwenye Laptop zao baada ya kuomba Os ya Microsoft lakini wakakataliwa kutokana na vikwazo toka marek
Ila Harmony Os kwa mara ya kwanza ilianza kutumika kwenye mfumo wa Android sasa unapatikana kwenye Windows.
๐ธ gharama yake ni dola $3,330 kwa upande wa
๐ฐ Tanzania gharama yake ni Tsh milioni 8.9M
โก Bado hawajasema kama kutakua na Uwezekano wa kuinstall Microsoft Windows na linux kwenye laptop zao.