Huawei ni lidude: Vikwazo vimeshindwa, sasa Qualcomm ya Marekani ni mteja wake

Huawei ni lidude: Vikwazo vimeshindwa, sasa Qualcomm ya Marekani ni mteja wake

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
9,548
Reaction score
28,817
Mwaka 2018 serikali ya Marekani si walijifanya kuipiga ban kampuni ya China, Huawei. Now the tables have turned!

Leo Oktoba 5, Huawei na Qualcomm wameingia multi-year broad patent license agreement.

​
Yaani Qualcomm kampuni kubwa ya Marekani kwenye telecommunication, itakuwa inanunua baadhi ya patents za Huawei za 5G, Computing, AI na Networking​

Hapa ndipo unaona ukubwa wa Huawei. Miaka 8 baada ya sanctions Mmarekani katupa kitaulo kmmmk

Miaka ya sanctions, restrictions na kuzuiwa kupata baadhi ya teknolojia za Marekani haikumaanisha Huawei imekufa kwenye innovation

Badala yake, Huawei ikaendelea kujenga ecosystem yake ya 5G, AI, computing, chips, networking na patents

Leo unaona kampuni ya Marekani yenyewe ikiingia makubaliano mapana ya licensing na Huawei.

Kwenye technology, unaweza kuzuia kampuni kununua bidhaa fulani, lakini ni vigumu kuzuia akili, patents na innovation.
​

“If you don't sell your product to a company, you are actually forcing it to make a similar product one day, and you will not be able to sell your product any longer.”
– Ren Zhengfei (Huawei CEO, 2018)​

Huawei is still in the game. Na mchezo wa technology bado unaendelea. 🔥

CREDIT: Bloomberg​
 
Imebakia kidogo sasa uolewe na wachina

Hata wakikohoa kidogo lazima uje uwatingishie makebo humu JF
Patent ni hati ya kisheria inayompa mvumbuzi haki ya kipekee ya kutumia au kuuza ubunifu au teknolojia yake kwa muda fulani

Kwa kifupi: Patent = umiliki wa kisheria wa ubunifu au teknolojia
 
Mambo ya vikwaza hasa upande wa Tech yanaumiza Kwa muda mfupi tu lakini juhudi zikiwekwa basi miaka ishirini inatosha kabisa kufika juu coz watu wenye akili wapo Kila nchi duniani ni kiasi cha kuwaweka pamoja, kuwatengenezea mazingira mazuri basi watu wanapiga kazi, utawakomoa Kwa muda mfupi but miongo kadhaa mbele mtajikuta mnakaribiana sasa, Tech ni lidude likubwa Sana huwezi kukaa nalo mwenyewe.
 
Tatizo Western countries bado walikuwa na yale mawazo mgando kuwa wakifungia ndio umekwisha kama miaka ya zamani.
Sasa China anawaumiza vichwa, kwa kutowahitaji kwa kuwa na uwezo wake wenyewe kiteknolojia na hasa hasa pia kuwa na soko kubwa sana na pia kuwafanya hata wao pia tegemezi kwa bidhaa zake.
EU wameshindwa kufata mkumbo wa Trump, na sasa yeye mwenyewe anajipendekeza tena China.
 
Umesema point tupu. Huawei ni reference hai, vikwazo viliumiza na kuchelewesha, lakini vikawa pia kichocheo cha kujenga alternatives zao

Nani alitegemea Qualcomm wangeenda Huawei kununua patents zenye thamani ya billions of dollars
 
Tatizo Western countries bado walikuwa na yale mawazo mgando kuwa wakifungia ndio umekwisha kama miaka ya zamani.
Sasa China anawaumiza vichwa, kwa kutowahitaji kwa kuwa na uwezo wake wenyewe kiteknolojia na hasa hasa pia kuwa na soko kubwa sana na pia kuwafanya hata wao pia tegemezi kwa bidhaa zake.
EU wameshindwa kufata mkumbo wa Trump, na sasa yeye mwenyewe anajipendekeza tena China.
Ukweli kabisa Walidhani sanctions ni OFF switch, kumbe kwa China zikawa ON switch

Tena China ukimpiga sanctions ndio anakuja na alternatives kali zaidi. Mifano ni mingi

Imefikia hatua Marekani imebidi ikae meza moja na China

Wazia Trump amefikia kuitaja Marekani na China kuwa ni G2 powers. Nguvu mbili kuu zenye uwezo mkubwa wa kuathiri mwelekeo wa dunia
 
Nakumbuka miaka 3 mpaka 4 sasa imepita pale Marekani kulikuwa na kitengo au kurugenzi maalumu kazi yake ni kuzuiya Technology ya Marekani!!!!

hisitoke nje ya Marekani

kufupi lengo kuu Wachina wasiibe Technology yao !!

Yule Mwamba
gafra kajiuzulu na kusema kile natakiwa kukilinda hakina maana yoyote kwasasa!!!

Sababu tayali upande wa Mshindani upo mbali zaidi kitechnology kuliko kile natakiwa kukilinda !!!!

Jamaana alikuwa chini ya Pentagon kama sijakosea!!!

Kajiuzulu kwa hoja iyo.
Kwamba China yupo mbali
zaidi kitechnology,
 
Patent ni hati ya kisheria inayompa mvumbuzi haki ya kipekee ya kutumia au kuuza ubunifu au teknolojia yake kwa muda fulani

Kwa kifupi: Patent = umiliki wa kisheria wa ubunifu au teknolojia
Sijui kwanini watu huwa wanakuwa offended ukiisifia china lakini not offended ukisifia Marekani.
Siku mchina akiweka kutengeneza zile mashine za mdutch basi kwisha habari yao.
Apple alikuwa anaomba ruhusa aweze kununua memory kutoka kampuni ya china maana now memory zimekuwa deal kwa sababu zinatumika zaidi kwenye ai hivyo kwenye pc, simu na kwingine ngumu kupata
 
Marekani kwasasa wapo hoi maeneo mengi kijeshi kitechnology kiuchumi

Ukiona Trump anasema kwamba Eti yeye na China ni wakubwa
wa Dunia 😀
Jua ukweli Marekani yupo nyuma sana kwa Mchina
Kwasasa

Lugha nzuri kujimwambafai nikudai yeye na China wapo juuu sana kidunia!!!!

Kupiga picha na Tajiri mpya na kudai nyinyi ndio matajiri zaidi Duniani kwasasa!!!
 
Wkt Marekani kwasasa anategemea zaidi Soko la ndani ya Marekani

Wkt
China ndio msafirishaji mkuu Duniani

Mana ya Mkuu wa Dunia ndio iyo wewe umeigeuza Dunia kuwa ndio Soko lako kuu!

Bidhaa za China hakuna sehemu nchi yoyote utazikosa!!!
 
Natamani Mwalimu Nyerere angekuwa hai

Mana kile kakisema miaka mingi kwamba hatuwezi kushindana na wenzetu wkt wenzetu tayali wana Maviwanda mengiiiii

Sisi ndio kwanza tunaanza kujenga Viwanda !!

Sasa rafiki yake Mchina katoboa
Humo humo

Nasasa ni Marekani ndio kabanwa kiviwanda kiasi anazuiya bidhaa za Mchina
kwakuweka Ushuru
Mkubwa!!!!
 
Nakumbuka miaka 3 mpaka 4 sasa imepita pale Marekani kulikuwa na kitengo au kurugenzi maalumu kazi yake ni kuzuiya Technology ya Marekani!!!!

hisitoke nje ya Marekani

kufupi lengo kuu Wachina wasiibe Technology yao !!

Yule Mwamba
gafra kajiuzulu na kusema kile natakiwa kukilinda hakina maana yoyote kwasasa!!!

Sababu tayali upande wa Mshindani upo mbali zaidi kitechnology kuliko kile natakiwa kukilinda !!!!

Jamaana alikuwa chini ya Pentagon kama sijakosea!!!

Kajiuzulu kwa hoja iyo.
Kwamba China yupo mbali
zaidi kitechnology,
Daah! Mchina kamfanya mtu ajiuzuli kazi hahahaa
 
Back
Top Bottom