Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Patent ni hati ya kisheria inayompa mvumbuzi haki ya kipekee ya kutumia au kuuza ubunifu au teknolojia yake kwa muda fulaniImebakia kidogo sasa uolewe na wachina
Hata wakikohoa kidogo lazima uje uwatingishie makebo humu JF
Tatizo Western countries bado walikuwa na yale mawazo mgando kuwa wakifungia ndio umekwisha kama miaka ya zamani.Mambo ya vikwaza hasa upande wa Tech yanaumiza Kwa muda mfupi tu lakini juhudi zikiwekwa basi miaka ishirini inatosha kabisa kufika juu coz watu wenye akili wapo Kila nchi duniani ni kiasi cha kuwaweka pamoja, kuwatengenezea mazingira mazuri basi watu wanapiga kazi, utawakomoa Kwa muda mfupi but miongo kadhaa mbele mtajikuta mnakaribiana sasa, Tech ni lidude likubwa Sana huwezi kukaa nalo mwenyewe.
Umesema point tupu. Huawei ni reference hai, vikwazo viliumiza na kuchelewesha, lakini vikawa pia kichocheo cha kujenga alternatives zaoMambo ya vikwaza hasa upande wa Tech yanaumiza Kwa muda mfupi tu lakini juhudi zikiwekwa basi miaka ishirini inatosha kabisa kufika juu coz watu wenye akili wapo Kila nchi duniani ni kiasi cha kuwaweka pamoja, kuwatengenezea mazingira mazuri basi watu wanapiga kazi, utawakomoa Kwa muda mfupi but miongo kadhaa mbele mtajikuta mnakaribiana sasa, Tech ni lidude likubwa Sana huwezi kukaa nalo mwenyewe.
Ukweli kabisa Walidhani sanctions ni OFF switch, kumbe kwa China zikawa ON switchTatizo Western countries bado walikuwa na yale mawazo mgando kuwa wakifungia ndio umekwisha kama miaka ya zamani.
Sasa China anawaumiza vichwa, kwa kutowahitaji kwa kuwa na uwezo wake wenyewe kiteknolojia na hasa hasa pia kuwa na soko kubwa sana na pia kuwafanya hata wao pia tegemezi kwa bidhaa zake.
EU wameshindwa kufata mkumbo wa Trump, na sasa yeye mwenyewe anajipendekeza tena China.
Wachache watakuelewa, leo tunawasiliana kwa simu, sms, internet (4G/5G)....90% ya vifaa vinavyotumika tuweze yote hayo ni Mchina, Huawei na ZTEHuawei ni wakubwa hasa. Marekani hakuwaogopa bure. Hii M-Pesa tunatumia ni matunda ya Huawei.
Sijui kwanini watu huwa wanakuwa offended ukiisifia china lakini not offended ukisifia Marekani.Patent ni hati ya kisheria inayompa mvumbuzi haki ya kipekee ya kutumia au kuuza ubunifu au teknolojia yake kwa muda fulani
Kwa kifupi: Patent = umiliki wa kisheria wa ubunifu au teknolojia
Daah! Mchina kamfanya mtu ajiuzuli kazi hahahaaNakumbuka miaka 3 mpaka 4 sasa imepita pale Marekani kulikuwa na kitengo au kurugenzi maalumu kazi yake ni kuzuiya Technology ya Marekani!!!!
hisitoke nje ya Marekani
kufupi lengo kuu Wachina wasiibe Technology yao !!
Yule Mwamba
gafra kajiuzulu na kusema kile natakiwa kukilinda hakina maana yoyote kwasasa!!!
Sababu tayali upande wa Mshindani upo mbali zaidi kitechnology kuliko kile natakiwa kukilinda !!!!
Jamaana alikuwa chini ya Pentagon kama sijakosea!!!
Kajiuzulu kwa hoja iyo.
Kwamba China yupo mbali
zaidi kitechnology,