Huawei ni lidude: Vikwazo vimeshindwa, sasa Qualcomm ya Marekani ni mteja wake

Vipi

Zimbabwe na cuba

Vikwazo vyao wamevitambuka?
 
kwa mtu alietumia simu za HUAWEI kama zile p series, akatumia Samsung note and s series , pia akamalizia iphone,...atajua vyema kwann HUAWEI alipigwa ban,....
 
kwa mtu alietumia simu za HUAWEI kama zile p series, akatumia Samsung note and s series , pia akamalizia iphone,...atajua vyema kwann HUAWEI alipigwa ban,....
Tufafanulie mkuu kwanini alipigwa ban
 
China akiweza kutengeneza machine ya microchip 3mn ya dutch na kile kioo cha ujerumani na software yake basi kazi imeisha marekani na shoga zake wataomba poo
 
China akiweza kutengeneza machine ya microchip 3mn ya dutch na kile kioo cha ujerumani na software yake basi kazi imeisha marekani na shoga zake wataomba poo
Huawei ilisema itatengeneza high emd chips kwa kutumia Tao Law badala ya Moore's Law bila ya EUV lithography machine
 
Naomba ufafanue hapà
Kabla ya kutengeneza Mpesa Safaricom walihitaji platform na hosting special hivi. Huawei ndiyo waliwatengenezea. Bila hiyo huduma ya Huaeri kudingekuwa na Mpesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…