Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Tumeona jana tarehe 09 Apple wamefanya yao kwa kutuletea iPhone 16 series. Same wine, new bottle!
Sasa bwana leo wakali wa hizi mambo Huawei wamefanya yao kwa kuzindua Huawei Mate XT Ultimate ambayo ni simu ya kwanza Duniani kukunjwa mara mbili.
Yaani iko hivi, ukiikunjua full unakutana na tablet yenye screen ya inch 10.2 diagonally.
Ukikunja upande wa kushoti screen inapungua inakua inch 7.9 ambayo bado ni kubwa ya kutosha tu.
Ukikunja tena upande wa kulia inakua simu yenye screen ya 6.4 screen.
Ya bei ndogo kabisa ni 256@ GB stirage inauzwa $2,800 (Tsh Mil 7.8) na ukitaka ya 1TB memory ipo, $3,400 (Tsh Mil 9.5) tu.
Tujitahidi kunywa maji na kula matunda wakuu.