Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao huawei hata waje na simu inapiga dunkin kusogea kwao imekua mwendo wa kobe google service kwa android ndo kila kitu.Hapo mpaka sasa mmarekani anasemaje
Wapi specifically nilitaja hiyo simu iliyokuwa imetoka jana yake?Naona umepaniki.Hajaandika kuhusu tolea la fordable phone bali simu imetoka jana wewe umeipima wapi kioo kuwa kibaya.Umeitumia lini ? Ungefafanua vizuri ili ueleweke.
TAFUTA HELA WEWEEFoldable naona sio simu ya kukaa nayo muda mrefu kama mwaka. Ikizidi inaanza kuleta show mbaya pale kwenye mkunjo, screen inaanza kama kutaka kukatika na vumbi au kitu kama ukungu inaanza kuingia. Pia zinataka ubadili sana cover na protectors kama unatumia.
Kwenye kuwa na size ndogo ukizikunja ndio hapo nazipenda.
Nilinunua Oman ilikua kwenye offer almost 320 omr mwaka juziNaisaka sana hii simu mkuu uliipata wapi na kwa bei ipi
Mbina sijawahi kukuona hapa kijijini?😀😀Hahahaa ,karibu Idindilimunyo mkuu
NaamDuu
Naisaka sana huawei wako mbele ya muda sana
Ni sawa na bei gani hiiDuu
Naisaka sana huawei wako mbele ya muda sana
Bongo nyoso mchongo uko kugumu😂Tumeona jana tarehe 09 Apple wamefanya yao kwa kutuletea iPhone 16 series. Same wine, new bottle!
Sasa bwana leo wakali wa hizi mambo Huawei wamefanya yao kwa kuzindua Huawei Mate XT Ultimate ambayo ni simu ya kwanza Duniani kukunjwa mara mbili.
Yaani iko hivi, ukiikunjua full unakutana na tablet yenye screen ya inch 10.2 diagonally.
Ukikunja upande wa kushoti screen inapungua inakua inch 7.9 ambayo bado ni kubwa ya kutosha tu.
Ukikunja tena upande wa kulia inakua simu yenye screen ya 6.4 screen.
Ya bei ndogo kabisa ni 256@ GB stirage inauzwa $2,800 (Tsh Mil 7.8) na ukitaka ya 1TB memory ipo, $3,400 (Tsh Mil 9.5) tu.
Tujitahidi kunywa maji na kula matunda wakuu.
Sawa. Ila umeiponda simu kabla hata hujaiona. Comment yako iko wazi kabisa kuwa uliilenga hii simu na umedai tech yao bado ipo chini sana hivyo huwezi kutumia simu yao.Wapi specifically nilitaja hiyo simu iliyokuwa imetoka jana yake?
Nilisema foldable kwa ujumla kwamba vioo vyake havina ubora na kudumu kama vioo vya kawaida.
Kuchanganua mambo madogo tu huwezi.
Huyu ni Pro west humuambii kitu ..kuhusu usa au wwnapaita mamtoniSawa. Ila umeiponda simu kabla hata hujaiona. Comment yako iko wazi kabisa kuwa uliilenga hii simu na umedai tech yao bado ipo chini sana hivyo huwezi kutumia simu yao.
Sina D mbili hivyo uelewa wangu upo chini sana.
Ahamie huko akakutane na KUBAGULIWA.Huyu ni Pro west humuambii kitu ..kuhusu usa au wwnapaita mamtoni
Tumeona jana tarehe 09 Apple wamefanya yao kwa kutuletea iPhone 16 series. Same wine, new bottle!
Sasa bwana leo wakali wa hizi mambo Huawei wamefanya yao kwa kuzindua Huawei Mate XT Ultimate ambayo ni simu ya kwanza Duniani kukunjwa mara mbili.
Yaani iko hivi, ukiikunjua full unakutana na tablet yenye screen ya inch 10.2 diagonally.
Ukikunja upande wa kushoti screen inapungua inakua inch 7.9 ambayo bado ni kubwa ya kutosha tu.
Ukikunja tena upande wa kulia inakua simu yenye screen ya 6.4 screen.
Ya bei ndogo kabisa ni 256@ GB stirage inauzwa $2,800 (Tsh Mil 7.8) na ukitaka ya 1TB memory ipo, $3,400 (Tsh Mil 9.5) tu.
Tujitahidi kunywa maji na kula ku
Kuna maajabu gani kwenye mkunjo wa pili ikiwa mkunjo wa kwanza upo?Tumeona jana tarehe 09 Apple wamefanya yao kwa kutuletea iPhone 16 series. Same wine, new bottle!
Sasa bwana leo wakali wa hizi mambo Huawei wamefanya yao kwa kuzindua Huawei Mate XT Ultimate ambayo ni simu ya kwanza Duniani kukunjwa mara mbili.
Yaani iko hivi, ukiikunjua full unakutana na tablet yenye screen ya inch 10.2 diagonally.
Ukikunja upande wa kushoti screen inapungua inakua inch 7.9 ambayo bado ni kubwa ya kutosha tu.
Ukikunja tena upande wa kulia inakua simu yenye screen ya 6.4 screen.
Ya bei ndogo kabisa ni 256@ GB stirage inauzwa $2,800 (Tsh Mil 7.8) na ukitaka ya 1TB memory ipo, $3,400 (Tsh Mil 9.5) tu.
Tujitahidi kunywa maji na kula matunda wakuu.
Kama hizi akili ndio unatumia kulelea familia basi hasara kwa taifa ni kubwa siku za mbeleni.Sawa. Ila umeiponda simu kabla hata hujaiona. Comment yako iko wazi kabisa kuwa uliilenga hii simu na umedai tech yao bado ipo chini sana hivyo huwezi kutumia simu yao.
Sina D mbili hivyo uelewa wangu upo chini sana.
Basi niseme wewe ni mtabiri mzuri maana unaona mbele. Mimi nipo nyuma ya muda hata hio simu sina uwezo wa kuimiliki kwa hio kubishana hapa ni kama napoteza mda.Kama hizi akili ndio unatumia kulelea familia basi hasara kwa taifa ni kubwa siku za mbeleni.
Mimi nazungumzia product range, wewe unazungumzia specific product. Kwanini unahisi foldable smartphones ni moja tu hii ya Huawei?
Mimi nazungumzia foldables zote za Samsung, Pixel, Huawei, Oppo, Tekno, etc zote as long as zinajikunja kwenye kioo na masharti yake ya kutosha. Hazina ubora sawa na vioo vya kawaida. Nilitarajia utapinga kitaalamu badala yake unaniletea ukilaza wako wa kutoelewa.