mtume wawatu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2016
- 1,053
- 1,199
Tunakujua we ni appleMpaka nifikie kutumia fordable smartphones tech yake itakuwa matured mno. Kwa sasa bado hazijanivutia hata resale value yake ni ndogo sana maana vioo vyake haviwezi kamwe kuwa na mwonekano mzuri wa kioo cha kawaida.