Huawei wamezindua simu ya kwanza kujikunja mara mbili. Base model ni Tsh Mil 7.8

Mpaka nifikie kutumia fordable smartphones tech yake itakuwa matured mno. Kwa sasa bado hazijanivutia hata resale value yake ni ndogo sana maana vioo vyake haviwezi kamwe kuwa na mwonekano mzuri wa kioo cha kawaida.
Tunakujua we ni apple
 
Kadri wanavyotoa matoleo mapya wanaboresha vioo, ninayo foldable smartphone iko vizuri sana kwenye kioo nakaribia mwaka lakini haijapata alama yoyote na naitumia sana tu, kuhusu muonekano uko poa sana tena inaweza kuzidi hizo nyingine kwa mtizamo wangu lakini
 
Foldable naona sio simu ya kukaa nayo muda mrefu kama mwaka. Ikizidi inaanza kuleta show mbaya pale kwenye mkunjo, screen inaanza kama kutaka kukatika na vumbi au kitu kama ukungu inaanza kuingia. Pia zinataka ubadili sana cover na protectors kama unatumia.

Kwenye kuwa na size ndogo ukizikunja ndio hapo nazipenda.
 
Kwenye kubadili protector uko sawa, maana protector zake zipo kama karatasi ngumu kwahiyo kupoteza gundi ni chap hasa kioo cha juu ikiwa imekunjwa, mkunjo ina limit yake ya kuikunja na kuikunjua kwa niliyonayo mimi haitakiwi kuzidi mara 200 kwa masaa 24,
 
Fold ni unyama hasa hizi za Samsung ambazo zinafunguka kama pochi.
 
Mpaka nifikie kutumia fordable smartphones tech yake itakuwa matured mno. Kwa sasa bado hazijanivutia hata resale value yake ni ndogo sana maana vioo vyake haviwezi kamwe kuwa na mwonekano mzuri wa kioo cha kawaida.
Simu imetangazwa Jana tu kwa mara ya kwanza umeshaanza kuisemea haya . 😁 Tumpe muda kidogo labda wamekuja na mabadiliko kidogo kutoka kwa wenzao
 
Sasa shida zote hizo za nini kpnz
 
Naona umepaniki.Hajaandika kuhusu tolea la fordable phone bali simu imetoka jana wewe umeipima wapi kioo kuwa kibaya.Umeitumia lini ? Ungefafanua vizuri ili ueleweke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…