Huawei wangekuwa namba 1 kwenye soko kisha Samsung. Shida figisu

Huawei wangekuwa namba 1 kwenye soko kisha Samsung. Shida figisu

Nimetumia huawei na samsung ila mpaka sasa ngoma droo, sijajua nani mbabe
 
Wakati Huawei wanakuja juu 2018 Samsung midrange na lowend zake hazikua nzuri kivile, ila walivyozindua A series kukabiliana na Huawei 2019 walianza kumuacha mbali Huawei. A series za mwanzo kabisa zilikua zipo vyema sana kila idara mpaka leo A series ndio zina mauzo makubwa sana kwenye Lineup ya Samsung.
 
Nimetumia huawei na samsung ila mpaka sasa ngoma droo, sijajua nani mbabe
Enzi hizo Huawei alikua na simu kali ila haziji huku kwetu, walikua wanaleta vimeo vile kama kishkwambi cha tigo, simu bei rahisi ila ipo slow balaa.
 
Hata mimi naamini hivyo
Huawei ingekuwa best phone company today ila bahati mbaya wakala ban ya maisha
 
Back
Top Bottom