Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Bongo film industry inaendeshwa na Ngumbaru wenzetu so utegemee jipya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikipataga muda huo bora nicheki Safari ChanelBinafsi mimi ni mzalendo na nnapenda sana kufuatilia tamthilia za hapa bongo mara moja moja pindi nkipata nafasi nkiwa home,
Kuna hiI Huba series inayorushwa DSTV (Maisha Magic bongo) ni ya muda mrefu sana, na imepewa airtime week nzima kuanzia J3 - Ijumaa, Hii series mwanzoni iliteka sana mashabiki wanaopenda kuangalia tamthilia za bongo, ila siku za hivi karibuni imepoteza mvuto kwa kiasi kikubwa kutokana na aina ya story zisizo na uhalisia katika maisha ya kawaida ambazo wanazitengeneza lengo ikiwa ni kuvuta muda series izidi kuonekana ndefu.
Kwanza kitu kinachonshangaza kule ndani kutokana na story yao, kila mtu amesha date na kila mtu kule ndani
Mfano
Kibibi, ameshatoka na Davy,Chidi na Fabrizo
Tima, ameshatoka na Davy, Jude na Jay B
Nelly,ameshatoka na Davy, Jay B na Abby
Happy, ameshatoka na Chidi na JB
Nikole, ameshatoka na Kashaulo, Davy, Jude na Jb
Tesa, ameshatoka na Kashaulo na Roy (ambae ni mwanaye)
Monica, ashatoka na Fabrizo
Sidi, ameshatoka na Kashaulo na JB
Sasa kutokana na huu muingiliano wa hawa watu, series inakosa muelekeo na mvuto kabisa
Au wakuu mnasemaje 😃😃😃😃😃
Yani ni ya hovyo mnoo , Nafkir wengi pale wameenda kuvuna Mpunga hakuna kingineWatu kuachana na kurudiana hovyohovyo,watu kuingia kwenye mapenzi na huyu kesho na yule inafundisha nini eti?yaani lengo la tamithilia ni nini?
Mpali wanajitahidi sana na ina uhalisia,ni aibu kwa mkongwe kama jb kuendelea kuigiza tamithilia ya vile ambayo lengo lake hata halijulikani
Dah,kazi kwelikweliYani ni ya hovyo mnoo , Nafkir wengi pale wameenda kuvuna Mpunga hakuna kingine
Hiyo Mpali ni tamthilia nzuri sana, Naipenda sana, Wa zambia wako serious na mambo yao
Yaani yaaani yaaani..lawama napeleka kwa ma director..
Serious bongo hapa hatuna ma director makini..
Ila tuna ma camera man tuuu
Pia hawa ma camera man wetu wanacheza na mind za wamama wa nyumbani si unajua wanapendaga vi drama vya ajabu ajabu..
Na soon nakuja ku change soko la movie hapa bongo..
Dua zenu wakuu....
Am caming Director subirini kuona vtu vikali..
Bongo sio waigizaji hakuna wapo wa kutosha ishu ni ma director hatuna...
Na waliopo wachache wanafanya kazi kimazoea an mtu director sio by proffesional ila ni alikua mshika camera kwa kina mussa banzi