Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124]Rudi nyuma shetani
Labeka mama...Babuuu
[emoji35] [emoji83] [emoji84]Labeka mama...
Bimana unaeza opoa hata Bibi na mlimbwanda at onceHatuna under 20 humu
Mi naona most of them ni chitchat Tu kusogezaaa siku and so onYapo baadhi ni serious, mengine ni kama kupanda daladala na mengi ni chitchat
Wewe umeona vyema. Kuna mtu nilimuandikia uzi hata pm hatujawahi kusalimiana.Mi naona most of them ni chitchat Tu kusogezaaa siku and so on
Wewe umeona vyema. Kuna mtu nilimuandikia uzi hata pm hatujawahi kusalimiana.
Akaaa mie sio mshamba kuja kusema myahud kanitongoza. Sana sana ukinikwaza zaidi ntakutaja ila sitaweka id yako kabisa sema si unajua binadamu tunajuaga kinachotugusa eehSoon nitakufata PM, ila ukinitimua kwa m100 usije kumwaga mchele jukwaani.
Ni nini kikatokea kati yenu katikati ya mahusiano ya mawhisky? Tushikirishe tafadhali tupate somoMm kuna mtu mwingine akiniambia ananipenda natamani hata nijue maana kuna Dada mzuri alinipendaga arusha alikuwa anafanya kazi ngurudoto alikuwa ananiletea mazawadi ya whisky na pombe za kila aina mpaka navyo kuambia Leo hii kaniacha mlevi mbwa nisiye na maendeleo wakati kijana wa watu ckuwa hata najua pombe kwa hiyo hata huyo Aspirini cjui panado hata cmuonei wivu wacha apendwe tu tatizo c kupendwa huyo mtu anaye kupenda ndo balaaa ata acha janga la kula na wakwao
Akaaa mie sio mshamba kuja kusema myahud kanitongoza. Sana sana ukinikwaza zaidi ntakutaja ila sitaweka id yako kabisa sema si unajua binadamu tunajuaga kinachotugusa eeh
huyu mdada kumbe akiwa na wa ubavu anaongea maneno laini ivi!Niombee niweze kupika vizuri kile chakula ukipendacho
Miss u my GrandfatherLabeka mama...
Hahahahahah[emoji35] [emoji83] [emoji84]
Nataka nikuandikie uzi mitala wewe na mzee babakila la kheri, mzee baba asprin umepata mwanamke anayejitambua sanaa, [emoji122]