Hubby Asprin I love you today, tomorrow and always

Hubby Asprin I love you today, tomorrow and always

Soon nitakufata PM, ila ukinitimua kwa m100 usije kumwaga mchele jukwaani.
Akaaa mie sio mshamba kuja kusema myahud kanitongoza. Sana sana ukinikwaza zaidi ntakutaja ila sitaweka id yako kabisa sema si unajua binadamu tunajuaga kinachotugusa eeh
 
Mm kuna mtu mwingine akiniambia ananipenda natamani hata nijue maana kuna Dada mzuri alinipendaga arusha alikuwa anafanya kazi ngurudoto alikuwa ananiletea mazawadi ya whisky na pombe za kila aina mpaka navyo kuambia Leo hii kaniacha mlevi mbwa nisiye na maendeleo wakati kijana wa watu ckuwa hata najua pombe kwa hiyo hata huyo Aspirini cjui panado hata cmuonei wivu wacha apendwe tu tatizo c kupendwa huyo mtu anaye kupenda ndo balaaa ata acha janga la kula na wakwao
Ni nini kikatokea kati yenu katikati ya mahusiano ya mawhisky? Tushikirishe tafadhali tupate somo
 
Akaaa mie sio mshamba kuja kusema myahud kanitongoza. Sana sana ukinikwaza zaidi ntakutaja ila sitaweka id yako kabisa sema si unajua binadamu tunajuaga kinachotugusa eeh

Mbona ushaanza kumwaga mtama sasa. PM zako zina makufuli
 
Back
Top Bottom