Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
nimekumiss mbishi mwenzanguUkisikia kutaka kuweka zulia dunia nzima ili mguu wako usikanyage chini wakati unaweza kuvaa kiatu tu ukafanya lile lile ndio huku.
Mmmh zari kakuchukulia bwana wako nn maana kila koment una reply cyo kwa hilo povuWatanzania tu ndio wanambabaikia hoko SA hamna anaemtambua nenda Kenya hana kiki kwao ndio kabisaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] 90% Ya followers wake watanzania Sijui wananini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmh zari kakuchukulia bwana wako nn maana kila koment una reply cyo kwa hilo povu
Maisha yasikufanye uwe na hasira ivo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani mwenye povu sasa ?!!!pole wewe unaemuona mungu wako...Si kwakuja huko mbio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mimi nimekumiss pia mwenzangu.nimekumiss mbishi mwenzangu
Maisha yasikufanye uwe na hasira ivo
Zari kasahau kama na yeye ni mmoja wa nyakunyaku anahisi tumesahau kama alimnyakua Chibu toka kwa Wema.
Correction: Wema dumped Diamond a few weeks before he met Zari. Diamond was single. Stop lying.
Zari kasahau kama na yeye ni mmoja wa nyakunyaku anahisi tumesahau kama alimnyakua Chibu toka kwa Wema.
Embu atulie huyo bibi kizee atuzalie tu Salama mtoto wetu.
Kuna picha zingine anaonekana mweupe zingine maji ya kunde, huyu demu ni rangi gani? Au ana shine now days?mbona enzi hivi alikuwa no editing?
Ujumbe murua kabisa, Dai aliumizwa sana na wema kuachwa wakati mapenzi ndio moto, mtoto wa kiume katuma zawadi ya gari kwenye birthday ya wema kijana akiwa sauz kazini kumbe dada ana mchepuko ukampa gari kali zaidi akaona ya Dai uchafu, Dai kaumizwa sana na wema, yaani anaemuona zari mbaya anajishaua tu eti mzee, mzee anabeba mimba?! kama Dai kaingia kaona size yake kwa nini asigande hapo? umri si tija tija mashine umeitunzaje si ajabu kwa wema Dai alikuwa anaelea tu wala hagusi kingo za kipenyo.Basi wewe lazima ujishangae huyajui na ukae kimya, sababu ulipitwa na wema aliporingishia kumuacha Diamond .kwa kutangaza kabla hata Diamond hajajua anaachwa.
Uliza uyajue yalikuwa waziiiiiiiii
Diamond kakukatana na Zari akiwa singo man, aliachwa akiwa hata mwezi haujafika... destini ikawa njiani...ndani ya ndege...upo hapo?
Wanapendana sababu kulikuwa hakuna mtu masaa hayo ya safari yao...ikipangwa hakuna wakupinga....
Kitendawili tega " kinanuka lakini kinapendwa nini nini hicho bibi k****ma....haaa haaa haa nenda kwa mange ukacheke shost[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] mange alikuwaga nayona hata kwenye baadhi ya blogs ipo!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 399559we niambie picha kama hii wabongo kule kwenye page yake wamekazana eti " Zari mungu kakubariki, umependeza sana" si uchizi huu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ...
Nenda kwa mange ukacheke na clip ya bibi na kitendawili[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]