SIERA
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,789
- 3,413
ohooo kumbe walisema alitembea na bilionea wa tz aliendaa party yake flani kule ug hawakumtaja jina
itakuwa ni ruge alivuruga
Watanzania tu ndio wanambabaikia hoko SA hamna anaemtambua nenda Kenya hana kiki kwao ndio kabisaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] 90% Ya followers wake watanzania Sijui wananini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]