Hudah Monroe na Zarina watunishiana misuli kisa Diamond

Hudah Monroe na Zarina watunishiana misuli kisa Diamond

Juzi tu katoka kufanya ya mdomo[emoji23][emoji23][emoji23].... Alichonacho ni mguu tu umbo la kawaida sana nyonyo yenyewe ishapoteza mawasiliano...akimzaa huyo akafanye surgery
YULE DADA HANA SHEPU HATA ???
 
Juzi tu katoka kufanya ya mdomo[emoji23][emoji23][emoji23].... Alichonacho ni mguu tu umbo la kawaida sana nyonyo yenyewe ishapoteza mawasiliano...akimzaa huyo akafanye surgery
ULE MDOMO NI MCHINA?
 
Sometimes sio mbaya kujifariji, inapunguza maumivu, aaaaj
maumivu yapi Sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa uyo muflisi anaetegemea child support?!!!! Yeye aendelee tu kuwatotoa
 
Mali za instagram anamiliki mama fekero sio zari, zari yuko expensive bhana, usimfananishe zari na vitu vya ajabu, toto limeumbika yani kila idara kakamilika, mwacheni aringe ,ndo wadada mjue na wanaume wa kuzaa nao sio kila mwanaume mnapanua tu mnaishia kuzaa na kina man fongo[emoji2] [emoji2] ,zari mjanja bhana anajua jinsi ya kuutumia uzuri wake, sio mama ubaya anagawa k miaka nenda rudi na hana lolote mjni
What so expensive abt Zari?????

Halafu warumi expensive person unavaa nguo za mr price???

Pulizi

Sema anajitahidi kuzibadili with msaada wa camera 3600 (sio 360 tena)

Hao huddah wema zari wote sawa
 
What so expensive abt Zari?????

Halafu warumi expensive person unavaa nguo za mr price???

Pulizi

Sema anajitahidi kuzibadili with msaada wa camera 3600 (sio 360 tena)

Hao huddah wema zari wote sawa
Binamu ila tusemepo ukweli, zari maji marefu
 
Urefu wake uko wapi?????

Unajua mie hata wanaosifiaga insta siwaelewi...

Binamu hebu nipe darsa..inawezekana sioni mnachooona
Kawaulize clouds kwa nn zari alivyoaanda party yake mlimani city walimpa mapokezi ya aina yake na breakfast ya nguvu, nakumbuka ilikua kipindi maalumu kwa ajili ya zari tu, hakuna staa yeyote nchini aliyweza kupata mapokezi ya zari, yule mwanamke ni next level binamu
 
Alikuwa kipya kinyemi bado......

Halafu binamu breakfast kitu gani???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rangi ile labda inawazingua
Live ukimuona wala sio rangi ya ajabu kiviiiiile......sasa akishaweka camera 3600....hata maji ya ray hayaoni ndani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kawaulize clouds kwa nn zari alivyoaanda party yake mlimani city walimpa mapokezi ya aina yake na breakfast ya nguvu, nakumbuka ilikua kipindi maalumu kwa ajili ya zari tu, hakuna staa yeyote nchini aliyweza kupata mapokezi ya zari, yule mwanamke ni next level binamu
ohooo kumbe walisema alitembea na bilionea wa tz aliendaa party yake flani kule ug hawakumtaja jina
itakuwa ni ruge alivuruga
 
Acha kabisa.... mpaka anakuwa wa njano....
mtoto kavutwa nywele ipo siku ubongo utatoka nje
14278918_138162019970618_300043028_n-jpg.399441
 
Attachments

  • 14278918_138162019970618_300043028_n.jpg
    14278918_138162019970618_300043028_n.jpg
    30.9 KB · Views: 91
Back
Top Bottom