Hudah Monroe na Zarina watunishiana misuli kisa Diamond

[emoji3] [emoji23] [emoji3] [emoji3]
 
Watanzania ni mwendo wa uluga luga kwa kwenda mbele...yaani zile comments 300 hadi 400 kwa siku insta kwenye page yake zote za wabongo...wabongo wanasifia hata picha ya penseli kisa zari kapost[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wabongo ss
 
Pesa na **** vinaongoza kwa kugombanisha watu, khaaa hudda and zari????
 
Kwani huda na diamond walikuwa wanatakana?
Sio wanatakana wamekulana kabisa while zari waz zea zea... (according to huddah) akasema domo sawa na pizza boy unaorder tu wakati wowote unapotaka
 
H angekulana na D ili amkomoe Z, angerusha picha haraka bila kufikiria mara mbili. Hakuliwa bali anatamani. Hata ya kuweka mikono juu ya tatuu zake angeonyesha bila sura...

Labda aende kutengeneza ndio arushe.
 

Yaani nakumbuka kumuonea huruma sana... Na hapo wanamsema eti anaanza kupaa sababu anaiba nyota ya wema... Wakati hajajua yanayojiri alikuwa USA akarusha post insta iliumiza sana kuhusu ...hata risasi angechukua yeye sababu yake ili yeye apone... Nikaanzaga kufikiria labda anamuongelea ndugu yake baada ya masiku kusaka saka ndio kumbe wema na timu wanazidi kumchoma la moyoni... Na gari ile duh... Ila wengi bado hawaelewi alichopitia.. na trip ya China first class kumbe eeeeh mzee wa enzi hizo alijipatia uroda kama kawa... Na gari juu nalo alipewa... Haya wee mtu hata kitabu kinaandikwa...ila kwa sasa ni furaha na kufurahia staa wetu anapendwa hata angekuwa mwanamke wa miaka 100 eeh anapata mapenzi na utamu wake mwingi.
 
Hapo nakubaliana naye Huddah juu ya respect kwa wengine ambao hawajazaa, ni kweli kabisa kuna watu walizaa hadi watoto kumi lkn Mungu akawachukua
Huddah alipokuwa rafiki na zari, alimtukana Wema juu ya fake pregnanncy
 
Huddah anamuonea wivu zari, zari hajampita umri tu, hata mafanikio huddah hampati zari hata robo, kwa kuwa wote ni wauza K lakin mwenzao kalamba karata dume [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mgeli jua tunavyo mdharau Hudda Kenya je? Mwanamke malaya anajaribu kujisafisha lakini kwenye wakenya were class hafiki.
 
heee wanawake wanatukaniana kuzaa... hee maajabu ya pili ya dunia.. wengine hapo mama zao walizaa watoto mpaka nane.. so their mother's are labor ward ambassadors?
Mtu unakuta kwa mtoto wa 5 anakomaa kumdis zari. Yupe mwanamke kuwa na mvuto ule kwa umri wake nampongeza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…