Ujumbe murua kabisa, Dai aliumizwa sana na wema kuachwa wakati mapenzi ndio moto, mtoto wa kiume katuma zawadi ya gari kwenye birthday ya wema kijana akiwa sauz kazini kumbe dada ana mchepuko ukampa gari kali zaidi akaona ya Dai uchafu, Dai kaumizwa sana na wema, yaani anaemuona zari mbaya anajishaua tu eti mzee, mzee anabeba mimba?! kama Dai kaingia kaona size yake kwa nini asigande hapo? umri si tija tija mashine umeitunzaje si ajabu kwa wema Dai alikuwa anaelea tu wala hagusi kingo za kipenyo.