Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
Yule mrembo matata ambaye kwa sasa yupo karibu sana na msanii matata wa kiume a.k.a Jux, amekiri kupitia kituo kimoja cha redio kwamba Jux ako na hela mingi kuliko Mondi sema hana kelele na wako mbioni kuanzisha brand yao mpya hapa Tz.
Ifahamike Huddah tayari amelamba dili nono huko 21st century fox la kuigiza. Ikumbukwe pia Jux amewahi kununua Mercedes Benz na plate namba kuweka jina Huddah!
Ifahamike Huddah tayari amelamba dili nono huko 21st century fox la kuigiza. Ikumbukwe pia Jux amewahi kununua Mercedes Benz na plate namba kuweka jina Huddah!