King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Msanii ni Msanii ,wapo kikazi zaidi ,unasikia tu ana hela nyingi kuwahadaa "mapromotors" ,maendorser waingie king kutoa Mpunga mrefu kwenye show/deals.King kong hivi hela huwa wanaweka wapi ? Unasikia tu wanazo nyingi