King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Msanii ni Msanii ,wapo kikazi zaidi ,unasikia tu ana hela nyingi kuwahadaa "mapromotors" ,maendorser waingie king kutoa Mpunga mrefu kwenye show/deals.King kong hivi hela huwa wanaweka wapi ? Unasikia tu wanazo nyingi
Ni suala la muda tu.Hongera Sana Jukisi kwa kupata mchumba wa kikenya uda.
Jux naye anatoa jicho?Wawe makini mwishoe sponsor atawapitia wote, na venye wote maharage ya mbeya, watakwapuliana bwana lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una maana gani yaani?Kumbuka sio zake Huddah kifuani kweupeeee
Atoe mara ngapi? Au unazungumzia jicho lipi?Jux naye anatoa jicho?
Wanawezana wenyewe kwa wenyewe.Ni suala la muda tu.
Bado hajazaliwa Mtanzania wa kum handle Mkenya hasa msanii. Dai na Ben wslishindwa na
Kiba mwenyewe anapumulia mashine.
Wafahamuni wa Kenya vizuri
Daaah nimecheka Sana , Yani unaambiwa tuu ana pesa chafu , Ila hatuzioni wala project zao hatuoni , Walau Diamond anachofanya kinaonekanaKing kong hivi hela huwa wanaweka wapi ? Unasikia tu wanazo nyingi
Daah mjini nimepaogopaAtoe mara ngapi? Au unazungumzia jicho lipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahDaah mjini nimepaogopa
Jicho moja la chini nyumaAtoe mara ngapi? Au unazungumzia jicho lipi?
Ndo hilo hilo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jicho moja la chini nyuma
Hivi siku hizi mbona kama haka kamchezo kanapendwa?Ndo hilo hilo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
duh izo nyonyo za uyo dem nimsalahYule mrembo matata ambaye kwa sasa yupo karibu sana na msanii matata wa kiume a.k.a Jux, amekiri kupitia kituo kimoja cha redio kwamba Jux ako na hela mingi kuliko Mondi sema hana kelele na wako mbioni kuanzisha brand yao mpya hapa Tz.
Ifahamike Huddah tayari amelamba dili nono huko 21st century fox la kuigiza. Ikumbukwe pia Jux amewahi kununua Mercedes Benz na plate namba kuweka jina Huddah!
[emoji849][emoji849][emoji849]Atoe mara ngapi? Au unazungumzia jicho lipi?
Maamuzi ya mtu binafsi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi siku hizi mbona kama haka kamchezo kanapendwa?
Mimi nilijua labda wale wasio na nguvu za kiume au homoni zao za kike ndio huamua kuliwa jicho...hata rijali anatoa jicho sababu nini?