Huduma gani ikitolewa bure na Serikali haitaathiri uchumi wetu?

Huduma gani ikitolewa bure na Serikali haitaathiri uchumi wetu?

Elimu Kuanzia msingi mpaka chuo iwe bure
Hii napingana nayo. Elimu Bure inatakiwa kuwa hadi secondary tu plus ufundi. Vyuo vikuu na vya kati viongezewe ada wanafunzi walipe zaidi. Mtakuja kunielewa baadae
 
Watanzania tusipende vya bure, kwa nch yetu, huduma hizo zikiwa bure zitakuwa ovyo mara 20 ya zilivyo sasa
Mbona huduma ya chanjo kwa watoto ipo nzuri tu. Si watendaji watakuwa na viashiria vya kujipima?
 
Back
Top Bottom